Hóla Diamondhead Superbike: Pikipiki ya umeme ya ki-futuristic kutoka India

Hóla Diamondhead Superbike: Pikipiki ya umeme ya ki-futuristic kutoka India

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kampuni la pikipiki kutoka India, Holaciudad wamezindua official superbike ya umeme inayoenda kwa jina la Diamondhead.
IMG_4300.jpeg

Imeitwa Diamondhead kwasababu ya muonekano wake wa mbele, kua na shape kama ya diamond. Pia ni e-Superbike inaweza kutoka 0-100kph kwa sec 2 tu.
IMG_4301.jpeg

Hola wamesema, body yake itaundwa kwa aluminum, magnesium na carbon fiber materials ili kupunguza uzito wa pikipiki huku ikiongeza performance.
IMG_4302.jpeg

Pia itakua na active aerodynamics, adaptive suspensions na active ergonomics vyote kuongeza performance na comfort.
IMG_4303.jpeg

Kuhusu safety na teknolojia, Ola wataweka ADAS, traction control, na AI features zingine. Pia wanaiuza na helmet yao “Smart AR helmet” ambayo ina sync na pikipiki yako.

Zitaanza kuuzwa mwaka 2026 kwa bei ya $5,700 tu.
 
Hapa bongo shida itakuwa kumpata fundi ikija kusumbua...mafundi boda washazoea kuzipiga nyundo pkpk za mchina.
 
Back
Top Bottom