Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Tukiwa tunauaga mwaka 2020 na kuukaribisha 2021 tuanze kabisa kutuma salamu za heri kwa tuwapendao na hata tunaowachukia..
1.Salamu zangu za kwanza zimfikie Paula Paul popote ulipo huyu manzi ghafla nimetokea kumpenda sana kwa mwaka huu 2020 namuombea mwenyezi mungu amvushe salama auone mwaka mwingine
2.salamu zangu za pili ziende kwa mama mmoja ambaye alitamba sana Jf kipindi hicho kwa sasa sijui kapotelea wapi huyo ni FaizaFoxy huyu mtu kuna waliompenda na kumchukia lakini alitisha kama ukoma yani umwingilii mara mbili akakuacha salama alikuwa kama messi wa Barcelona ukimfata ovyo anakumimina kama chapati.. kama yupo hai naomba mungu amvushe salama mpaka 2021
3.Salamu ziwafikie wale wote wanaoingia jf na kusoma comments za watu bila wao kukomenti . Hususani wale wanaoishia ku like tu wakiguswa...mungu awavushe salama
4.Salamu zimfikie jamaa wakuitwa mkwepu jr jamaa ana record ya kipekee sana member since 2014 hajawahi anzisha thread hata moja lakini anaongoza kwa kutoa likes katoa likes zaidi ya laki 3 mpaka muda huu. Hongera sana mungu akuvushe bro tukutane 2021
 
FB_IMG_16079713953033066.jpg
 
Tukiwa tunauaga mwaka 2020 na kuukaribisha 2021 tuanze kabisa kutuma salamu za heri kwa tuwapendao na hata tunaowachukia..
1.Salamu zangu za kwanza zimfikie Paula Paul popote ulipo huyu manzi ghafla nimetokea kumpenda sana kwa mwaka huu 2020 namuombea mwenyezi mungu amvushe salama auone mwaka mwingine
Oh, This brings a smile to my face.
Thank you Babumawe.
I wholeheartedly wish you a marry Christmas and a happy new year.

Sending you a virtual Hugs, smiles and kisses.
 
Oh, This brings a smile to my face.
Thank you Babumawe.
I wholeheartedly wish you a marry Christmas and a happy new year.

Sending you a virtual Hugs, smiles and kisses.
Thanks Paula you are welcome
 
Back
Top Bottom