Hollywood series hii inaongoza kwa kupata kura nyingi

Watu wanaopenda “You” nakuwaga nna mashaka nao kidg kuwa wanaweza wakawa na Dark side kwa ndani

Ni mawazo yangu tu
Kila aliyekufa kwenye YOU ni mtu mwenye roho mbaya, wote wanastahili tu kwa maana wana roho mbaya.
 
Kila aliyekufa kwenye YOU ni mtu mwenye roho mbaya, wote wanastahili tu kwa maana wana roho mbaya.

Kwahiyo wenye roho mbaya, cheaters wote wanastahili kufa? jeez fikiria mzee
 
Achana na wazungu miyeyusho tu njoo kwa wakorea hutojuta
 
Kwahiyo wenye roho mbaya, cheaters wote wanastahili kufa? jeez fikiria mzee
Plus ukileta ujuaji ukifa ni sawa tu.

Kwenye hii series hakuna hata mtu mmoja ambae Joe alimuuwa kwa kukusudia, wote walio uawa ilikua ni ajari tu.
Baada ya kumteka mtu, then akaleta ujuaji wa kutaka kutoloka kwa Nguvu, ndio Mwamba Joe alikua akiwapiga na kuwauwa bila kukusudia.

Series hadi imeongoza kwa Votes bado hutaki tu kuikubali ?
 
Lakin joe ana matatizo ya akili yule anaua hadi rafiki wa Mpenzi wake,anafatilia sana na kuchunguza
Niliishia alivyopata yule demu wanapenda wote kuua
 
Tafadhali naomba uelezee vizuri hapo kwenye hizo votes?

Joe ana obsession flan hivi halafu ni stalker mwana anafeli, plus S01 alivyopewaga game akazingua kinoma wakati alikuwa anajua kuwa manzi halizikagi kindezi yeye sasa dah akafika top within seconds... duh!

Namalizia kwa kusema sijasema kuwa series siikubali au kana kwamba ni mbaya, hapana ila naionaga tu kuwa iko dark
 
Hii Series niliiona UTOPOLO toka episode ya kwanza na sikutaka hata kujua nini kitaendelea...
 
Dark side - yaani una roho mbaya, husda, ukatili, ulipitia maisha ya mateso yakakuathiri, ulikuwa abused ukawa mkatili, una mapepo mabaya, ni mchawi, una wivu nakadhalika. Thats Dark side!
Duh hahahahhqhhq
 
Ulipo Sema ww ni Mr India nikacheka sana Sasa India na bongo movie tofauti yao ni nn
 
imdb.com huwa wanapanga series kulingana na rates pamoja na votes.

kwa votes YOU inaongoza.

Kuzingua siku ya kwanza sio inshu mwana alikua anapiga show ya uhakika.

alafu ukiendelea season 2 utajionea msela alivyo na roho nzuri na hapendi mtu aonewe, hasa binti wa kike.
 
Ulipo Sema ww ni Mr India nikacheka sana Sasa India na bongo movie tofauti yao ni nn
Muhindi action hajui, japo wapo baadhi wanajarbu kidogo, lakini kwenye story wapo vizuri sana hasa Drama movie haichoshi kuangalia.
Naangalia Actor wa kizazi kipya lakini.
wa zamani siangalii kabisa
ma actor wapya wako vizuri.
mnyama mmoja huyu hapa..
 
Angalia GAME OF THRONES, hutojutia muda wako.
upumbavu huo niangalia nimshabikie nani sasa kwenye hiyo series wote mandezi tu.
nitajie nani kaigiza vizuri zaidi humo, star mwenyewe haeleweki ni nani?

inshort movie za adventure sifagiliii
 
Series zangu pendwa kwa sasa:

1. See
2. The Mandalorian

Mambo ya You endeleeni nayo
See kidogo ipo vizuri. umependa action naona.

Cheki "Lupin" huto jutia.
action kwa sana... Angalia "The Punisher"
 
See kidogo ipo vizuri. umependa action naona.

Cheki "Lupin" huto jutia.
action kwa sana... Angalia "The Punisher"
Kabisa mkuu, muvi/series za story siziwezi kabisa...

Ngoja kesho nishushe hiyo Lupin & The Punisher.
 
Lakin joe ana matatizo ya akili yule anaua hadi rafiki wa Mpenzi wake,anafatilia sana na kuchunguza
Niliishia alivyopata yule demu wanapenda wote kuua
hapo patamu sasa,
itaendelea tuone anavyoteseka kuishi na mwanamke katili 😂🤣

sasa movie ya kivita watu wanavyokufa wengi mbona husikitiki sana ?
 
See kidogo ipo vizuri. umependa action naona.

Cheki "Lupin" huto jutia.
action kwa sana... Angalia "The Punisher"

We jamaa vitu unavyovipenda yaani unaikubali The punisher & You, duh unapenda movies za ukatili
 
"magical ring" nayo ya huko huko India niliiona, ni nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…