George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
ID yako imekaa kikatili sana mkongwe!We jamaa vitu unavyovipenda yaani unaikubali The punisher & You, duh unapenda movies za ukatili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ID yako imekaa kikatili sana mkongwe!We jamaa vitu unavyovipenda yaani unaikubali The punisher & You, duh unapenda movies za ukatili
ID yako imekaa kikatili sana mkongwe!
Iv punisher inaendelea season ya tatu?See kidogo ipo vizuri. umependa action naona.
Cheki "Lupin" huto jutia.
action kwa sana... Angalia "The Punisher"
Action ulitaka watu wapigane makofi [emoji23][emoji23][emoji1787]
Prison break uliangalia iliyo tafsiriwa sindio.Kiukweli mimi ndugu zangu naombeni mnisaidie ili niweze kutazama hizi series maana huwa sizielewi kabisa,tangu nilipotazama PRISON BREAK aisee kila nikijitahidi kutazama series nyingine nashindwa kabisa kwasababu naona haina utamu kama uliyopo kwenye PRISON BREAK!!.
Hebu tafadhali nisaidieni mwenzenu,hivi kuna series kali,nzuri na tamu kushinda PRISON BREAK?,yawezekana kwenu isiwe nzuri lakini kwangu huniambii hii kitu aisee,nimejaribu kuzitazama MONEY HEIST,SQUID GAME,BREAKING BAD lakini najikuta simalizi hata seasons one ya hizo filamu kwasababu naona hazieleweki!!,Yaani huwa niko radhi kuirudia PRISON BREAK hata mwaka mzima kuliko kutazana new ones maana najua hakuna jipya kushinda PRISON BREAK!.
Hebu nisaidieni kimawazo!!
Hapana,huwa sipendi series au muvi zilizotafsiriwa.Prison break uliangalia iliyo tafsiriwa sindio.
Nilipoitazama season 1 tu sikuipenda na niliona utoto na uongo ni mwingiMoney heist ilikuboa wap sasa.
Series kali ever
Mi napenda sana movie au series zenye ACTION & CRIME na ndiyo sababu naipenda sana PRISON BREAKPole hakuna Utoto mule ni show show tu.
Ila kwenye movie unatakiwa ujue unapenda nini kati ya hivi..
Drama and romance,
Action,
Crime,
Horror,
Or Adventure
Mi napenda sana movie au series zenye ACTION & CRIME na ndiyo sababu naipenda sana PRISON BREAK
JOE alikua na matatizo ya akili yule.
AHSANTE SANA MKUU,NIMEKUELEWA!Shida sio Series hauzielewi shida ni Mindset uliyojiwekea, fungua kichwa kuwa tayari kupata new experience maana Prison Break itabaki kuwa unique kama ilivyo. kwahiyo kama unaangalia Series nyingine usifananishe na hiyo PB yako, Kuwa open mind kila series ina utamu wake tofaut
Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018).
Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu.
nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu kuangalia Prison Break, aiseee niliona ndefu sana, series inazunguka huku na huku, wanachelewa kwenda kwenye main point, sikuweza kumaliza hata season moja, nikaacha nikaishia njiani.
Wapenzi wa movies za kizungu nazani mnaelewa utamu wa movies zenye hizi category ni fire; Gernes- Drama, crime, Romance, Action. ooh i love it.
mwisho unaweza niita Mr. India
i love Bollywood movies[emoji7]
Series yenyewe ni hii inayo ongoza kwa kura nyingi kwa sasa kwenye imdb.com
YOU (2018)
View attachment 2003474,View attachment 2003477
Gernes; Drama, crime, Romance.
View attachment 2003476