Hollywood series hii inaongoza kwa kupata kura nyingi

Action ulitaka watu wapigane makofi [emoji23][emoji23][emoji1787]

Hahah hamnaa...actions sio lazima ziwe na gruesome violence kuna actions kibao kali ila hazina mambo meuisi kama movie za marvels ziko okay
 
Kiukweli mimi ndugu zangu naombeni mnisaidie ili niweze kutazama hizi series maana huwa sizielewi kabisa,tangu nilipotazama PRISON BREAK aisee kila nikijitahidi kutazama series nyingine nashindwa kabisa kwasababu naona haina utamu kama uliyopo kwenye PRISON BREAK!!.

Hebu tafadhali nisaidieni mwenzenu,hivi kuna series kali,nzuri na tamu kushinda PRISON BREAK?,yawezekana kwenu isiwe nzuri lakini kwangu huniambii hii kitu aisee,nimejaribu kuzitazama MONEY HEIST,SQUID GAME,BREAKING BAD lakini najikuta simalizi hata seasons one ya hizo filamu kwasababu naona hazieleweki!!,Yaani huwa niko radhi kuirudia PRISON BREAK hata mwaka mzima kuliko kutazana new ones maana najua hakuna jipya kushinda PRISON BREAK!.

Hebu nisaidieni kimawazo!!
 
Prison break uliangalia iliyo tafsiriwa sindio.
 
Nilipoitazama season 1 tu sikuipenda na niliona utoto na uongo ni mwingi
Pole hakuna Utoto mule ni show show tu.
Ila kwenye movie unatakiwa ujue unapenda nini kati ya hivi..
Drama and romance,
Action,
Crime,
Horror,
Or Adventure
 
Pole hakuna Utoto mule ni show show tu.
Ila kwenye movie unatakiwa ujue unapenda nini kati ya hivi..
Drama and romance,
Action,
Crime,
Horror,
Or Adventure
Mi napenda sana movie au series zenye ACTION & CRIME na ndiyo sababu naipenda sana PRISON BREAK
 
Mi napenda sana movie au series zenye ACTION & CRIME na ndiyo sababu naipenda sana PRISON BREAK

Shida sio Series hauzielewi shida ni Mindset uliyojiwekea, fungua kichwa kuwa tayari kupata new experience maana Prison Break itabaki kuwa unique kama ilivyo. kwahiyo kama unaangalia Series nyingine usifananishe na hiyo PB yako, Kuwa open mind kila series ina utamu wake tofaut
 
AHSANTE SANA MKUU,NIMEKUELEWA!
 

Hii ni kali sana, sasa tafuta dexter...
 
Acha nikatazame YOU nahisi itakua kitu ya flavour zangu,story flan amaizing
 
YOU nnayo ila ipo tu nimeshindwa kuiangalia haijanivutia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…