NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.