Tetesi: Homa ya D9: Vyombo vya ulinzi (JWTZ, polisi, jeshi la magereza n.k.) kufanya usafi nchi nzima kuanzia Disemba 7

Mbona wakimwaga itakuwa wamewasaidia waandamanaji….maana jeshi la polisi na usalama wa taifa mpaka sasa ndo mtuhumiwa namba moja wa mauaji…ingawa tunalalamika kuwa JWTZ ni wasaliti lakin kuna ile imani ya kuwa JWTZ hakuwakufanya mauaji
Naomba kuuliza, Usalama wa Taifa anatokea polisi au JW?
 
Mara nyingi wanatolewa Jeshini baada ya mafunzo yale ya JKT…pale ndo wanafanya recruitment, wengine wataenda JWTZ, polisi, Usalama na wengine kuingizwa JKT, kipindi mm nimeliza mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria, walikuja fanya recruitment kma hii, ila pia usalama wa taifa wanaweza kuchukua watu kutoka mashuleni (kipindi hicho shule ya Ilboru walikuwa wanachukuliwa wengi sana , kwa sasa sijui) au sehemu yoyote kma una potential na kwenda kwenye mafunzo uko jeshini, ili kupata kujua matumizi ya silaha na baadae kuingia usalama wa taifa. Hizi ndo zilikuwa process za kipindi hicho, sijajua kma bado zinaendelea hivi.
 
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.

Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.

Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.

Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.

Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Ujinga mtupu. Yote hayo ni kumlinda mtu mmoja Tu sa100 na genge lake.
 
Mara nyingi wanatolewa Jeshini baada ya mafunzo yale ya JKT…pale ndo wanafanya recruitment, wengine wataenda JWTZ, polisi, Usalama na wengine kuingizwa JKT, kipindi mm nimeliza mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria, walikuja fanya recruitment kma hii, ila pia usalama wa taifa wanaweza kuchukua watu kutoka mashuleni (kipindi hicho shule ya Ilboru walikuwa wanachukuliwa wengi sana , kwa sasa sijui) au sehemu yoyote kma una potential na kwenda kwenye mafunzo uko jeshini, ili kupata kujua matumizi ya silaha na baadae kuingia usalama wa taifa. Hizi ndo zilikuwa process za kipindi hicho, sijajua kma bado zinaendelea hivi.
Ouk nimeelewa sasa.
 
Huu mwaka jeshi na police wamepata kazi aisee ,mara wabebe miili wakaifiche hii sio kazi

Sio mchezo mara walinde makaburi ya halaiki, waende hospitali kudai majeruhi wawapeleke mochwari.

Wanaambiwa waue ndugu zao, Watanganyika wenzao wasio na hatia yoyote, waue watoto, wanawake wao wasio na kosa lolote majumbani mwao.
 
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.

Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.

Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.

Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.

Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Na wananchi wanaenda kufanya usafi vile vile...
 
Umeonaa eeh?? Nakuambiajee maeneo ya karibu na home walikuwa zaidi ya 10 wako na mitutu.
Watu wanawachungulia dirishani, khaaah.
Tarehe 8 Kuna sherehe ya harusi mtaani,hapa kibari kimekatwa polisi,,kama nawaona watakavyokuwa wanajipitisha na mitutu yao,
 
Alafu yeye kajificha uko kizimkazi…anatibua uku anakimbilia uko
 
Tuende hivi hivi hata na wao wapate kazi za kufanya maana hawana kazi
 
Back
Top Bottom