MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Hatokei chombo chochote kati ya ulivyovitaja dada isipokuwa anaweza kufanya kazi kwa kushirikiana na hivi vyomboNaomba kuuliza, Usalama wa Taifa anatokea polisi au JW?
Nikipita tena hapo nitakustua uniletee japo ubwabwa wa kunyumba toka asubuhi hatujala chochote na aliyepewa zamu ya kuletq vyakula naambiwa ameanzia Peramiho hivyo nitakufa nduguyo 😀😀