NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Waje wanisafishie geto languHaya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha,Mbeya,Njombe, Mwanza,Mara,Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Tutasaidiana kufanya nao usafi, kwa heshima na taadhima sisi tutaanza tarehe tisa.Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Hiyo ni habari njema sana ...tutashiriki kufanya nao usafi hadi tuya ondoe yale MAFII💩💩💩 MACHAFU YALIYOPO KWENYE VYOO VYA IKULU...TUNATAKA IKULU IWE SAFI ...IKULU NI SEHEMU TAKATIFU SIYO PANGO LA MAFISADI NA WAHUNI.Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Tanzania hakuna chombo cha ulinzi wala jeshi. Kuna vikundi vya wahalifuChombo cha Ulinzi ni Jeshi tu. Hivyo vingine ni vyombo vya usalama.
Wapi huko?Huku Kwa nchimbi wamemwagika Kila kona.