MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Hatokei chombo chochote kati ya ulivyovitaja dada isipokuwa anaweza kufanya kazi kwa kushirikiana na hivi vyomboNaomba kuuliza, Usalama wa Taifa anatokea polisi au JW?
Kamtishie bibi yako..Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Hata ambao hawakubaliani lazima waigize kwamba wanakubaliana na haliHivi hao jamaa wa hivyo vinavyoitwa vyombo wanakubaliana wote na huo upuuzi?!
Wako wangapi mpaka wawe na uwezo huoHaya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Labda wataomba usaidizi toka UgandaWako wangapi mpaka wawe na uwezo huo
Mkuu hizo ni taarifa tu.Kamtishie bibi yako..
Kamtishie yule bibi yako siku hio ya December 9 akijibiwa lile swali lake la who are you?Mkuu hizo ni taarifa tu.
Ndiyo maana vyombo vyetu vimekosa welediHaya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo usafi utafanyika kwa umakini mkubwa ni Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Njombe, Mwanza, Mara, Songwe na Kilimanjaro.
Kuna vikosi vya askari toka mikoa isiyo na uhitaji mkubwa wa usafi watapelekwa mikoa tajwa hapo juu.
Inakadiriwa kuwa zoezi hilo litachukua siku zisizopungua saba.
Wanatokea UVCCM ndiyo maana kumejaa machoko.Naomba kuuliza, Usalama wa Taifa anatokea polisi au JW?
Wakati niko Ilboru(some decades ago) kuna best yangu walimchukua tukiwa hapo kwenda JKT/Chuo akawa tayari ni 'spy' na ile kumaliza chuo alichukua kazi ya maana sana kwenye shirika flani.Mara nyingi wanatolewa Jeshini baada ya mafunzo yale ya JKT…pale ndo wanafanya recruitment, wengine wataenda JWTZ, polisi, Usalama na wengine kuingizwa JKT, kipindi mm nimeliza mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria, walikuja fanya recruitment kma hii, ila pia usalama wa taifa wanaweza kuchukua watu kutoka mashuleni (kipindi hicho shule ya Ilboru walikuwa wanachukuliwa wengi sana , kwa sasa sijui) au sehemu yoyote kma una potential na kwenda kwenye mafunzo uko jeshini, ili kupata kujua matumizi ya silaha na baadae kuingia usalama wa taifa. Hizi ndo zilikuwa process za kipindi hicho, sijajua kma bado zinaendelea hivi.
Wapi huko?Huku Kwa nchimbi wamemwagika Kila kona.
Huku kijijin kwetu,Wapi huko?
Asilimia 30 na wanajeshi ni TISSMara nyingi wanatolewa Jeshini baada ya mafunzo yale ya JKT…pale ndo wanafanya recruitment, wengine wataenda JWTZ, polisi, Usalama na wengine kuingizwa JKT, kipindi mm nimeliza mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria, walikuja fanya recruitment kma hii, ila pia usalama wa taifa wanaweza kuchukua watu kutoka mashuleni (kipindi hicho shule ya Ilboru walikuwa wanachukuliwa wengi sana , kwa sasa sijui) au sehemu yoyote kma una potential na kwenda kwenye mafunzo uko jeshini, ili kupata kujua matumizi ya silaha na baadae kuingia usalama wa taifa. Hizi ndo zilikuwa process za kipindi hicho, sijajua kma bado zinaendelea hivi.