Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Nilikuwa cfaham hii kitu kabisa ila imeanza kuniogopesha binafsi nina maumivu ya tumbo pale ninapo liingiza tumbo ndani na kulitunisha kwa nje lakin pia nikishiba sana pia nafeel maumivu.
 
Nilikuwa cfaham hii kitu kabisa ila imeanza kuniogopesha binafsi nina maumivu ya tumbo pale ninapo liingiza tumbo ndani na kulitunisha kwa nje lakin pia nikishiba sana pia nafeel maumivu.
Jamaa nenda ukapime hyo dalil ndo mïongon tena iyo ni dalil mby kama ukipma ukakutw uk+
 
Nadhani haipungui 20,000 japo sina hakika, na unapata mara tatu.

Chanjo ni muhim sana, ugonjwa upo na ni hatarii kweli
Virus zingekuwa na dawa, kusingekuwa na mafua au flu duniani. Kuna kupunguza makali mpaka ugonjwa wenyewe uondoke. Nunua Lactrose utumie inasaidia ini kutoa uchafu.

Tabia za kujisafisa kutoka nyuma kwenda mbele hasa wanawake zinachangia. Naongea sababu nilishaugua nikiwa chuoni kwenye seventies. Nilipata chanjo ya A ambayo ninapofanyiwa medical exams nakuta nina kinga zote mbili a and b ingawa nilifanya tena chanjo ya b kwenye eighties.
 
Wewe kirusi kinatibikaje?
Sawa,ni sh ngapi?
Hivi chanjo ya HIV iliishia wapi wajameni?
Pole sana nenda agakhan au muhimbili ndio wanatoa hiyo chanjo,navyojua mimi huo ugonjwa unatumia chanjo na unapona kabisa
Wanatoa chanjo ya kuponyesha kbisa ama ya kujikinga mkuu
Kuna chanjo pia wanatibu
Mnashindwa kutofautisha "chanjo" na "tiba"

Chanjo anapatiwa mtu ili kumkinga asipate maambukizi ya ugonjwa fulani.

Ikitokea ameshapata maambukizi ya huo ugonjwa basi hapatiwi tena chanjo bali anapatiwa tiba.
 
Back
Top Bottom