Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]