Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Ila hii kitu , Wizara ya Afya na Wizara ya Elimu , walipaswa kuitazama na ikiwezekana , waingizie ktk mtaala wa shule uko sekondar , wanafunzi wafundishwe km ilivo HIV .Kwa maana Ni yapolepole lkn Uharibifu wake ni wa Uhakika.

Mungu Nilinde Mja wako!!
Yaani huu ugonjwa haujulikani kabisa, wamekaa kimya hawatoi elimu yoyote. Chanjo ipo lkn hakuna uhamasishaji.
 
100% true na haswa hepatitis B

Sent from my iPhone using JamiiForums

Huu ugonjwa sio kujamiia tu ata kugusana kama mwenye ugonjwa ana jasho maana virus vya huu ugonjwa havikai kwenye damu pekee lakini pia ata kuvaliana nguo yan kiufupi huu ni hatari ila kwa mgonjwa pole sanaa naamini utapona

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
najibu lakini nimekalia nafasi ya Mtu
tiba ya huu ugonjwa ni Miwa kwa wingi
SIO KWELI,WATU WENGI WAMEKUA WAKIWORSEN KWA KUFUATA HIZI PLACEBO MANAGEMENT... MIWA HAINA ANATI HEPATITIS ACTIVITY,INAPUNGUZA BILIRUBIN PEKEE
 
Habari wakuu,

Ni muda wa miezi sita sasa napata tatizo la kuwa na maumivu ya mgongo na sehemu za nyonga.

Mwezi wa pili nlienda hospital, nikamuelezea Dokta juu ya hili tatizo, nikapimwa damu kutokana na maelezo yangu na majibu yakaja kuwa kiwango cha acid kimezidi kwenye damu hivyo nina gout.

Kiukweli kwa umri wangu mdogo nimeshangaa sana kupata hitilafu hii na vile vile mimi sio mpenzi wa nyama nyekundu kabisa... nyama nyingi ninayokula ni samaki, kwa hiyo nilipewa dawa za kutumia, nikamaliza na dose kabisa lakini tatizo limerudi pale pale.

Vile vile nina shida ya kupitiliza siku za hedhi, naweza kukaa hadi miezi mitano sjaona sku zangu... nmeshapima vipimo vyote naonekana nipo vizuri, nmeshatumia sana dawa za hospital, naweza kwenda sawa kwa miezi miwili au mitatu tu baada ya hapo tatizo limajirudia.. hata dawa za mitishamba nmetumia pia sana lakini hazijanisaidia.

Naombeni mnisaidie wakuu itakua chanzo nini? Nateseka sana.
 
Pole sana,mugu atakuponya
Sijui historia yako ktk makuzi yako huenda ni sababu moja wapo yaani lifestyle ya ukuaji wako.
 
Fight kubalance mwili wako. Nimekuwa nikideal sana na Get well summit, ni summit ya ma dr wakubwa US na Canada ambao wanadeal na tiba mbadara, na kuna moja inaongelea hayo matatizo ya hedhi na maumivu sijui kama badonitakuwa nayo maana uwa wananitumia niziwekee subtittles halafu nikishawarudishia uwa nazifuta kwenye maktaba yangu.

Nadhani ingekusaidia, yani inaelekea afya zetu zinakuwa affected sana na vyakula tunavyokula. Kwenye summit zao huwezi amini wao wanasema mafutayani vyakula vyenye mafuta ni vizuri wanapingana na ma dr hawa wengine ila wanaita good fats.
 
Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
 
Shusha nondo hapa mkuu wengine wapate kufaidika
 
Ogopa matapeli
 
Fight kubalance mwili wako. Nimekuwa nikideal sana na Get well summit, ni summit ya ma dr wakubwa US na Canada ambao wanadeal na tiba mbadara, na kuna moja inaongelea hayo matatizo ya hedhi na maumivu sijui kama badonitakuwa nayo maana uwa wananitumia niziwekee subtittles halafu nikishawarudishia uwa nazifuta kwenye maktaba yangu.

Nadhani ingekusaidia, yani inaelekea afya zetu zinakuwa affected sana na vyakula tunavyokula. Kwenye summit zao huwezi amini wao wanasema mafutayani vyakula vyenye mafuta ni vizuri wanapingana na ma dr hawa wengine ila wanaita good fats.
Nashkuru mkuu.. nitafurahi kama itapatikana
 
Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Asante sana mkuu..
 
Kuna watu wanashangaza sana mtu ana tatizo anataka msaada ili tatizo alitatue na tatizo alilonalo wapo wengi wanateseka na tatizo kama ilo sasa badala ya kutolea ufafanuzi ili watu wote wajue we unataka akufate pm dah wabongo kila kitu tunaona fursa ya pesa tuache tamaa tusaidiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiuno na mgongo ningekushauli usipende kulalia godoro lilioisha. Unapo kwenda tandika chini mkeka na lala kwa kutumia tumbo kwa muda wa wiki mbili kama utashindwa kulala bila kutumia mto, tumia mto laini u wenye unene kama nchi 2, Hiyo ndiyo dawa niliyo itumia mimi kwa tatizo lako la kiuno na mgongo, nilishauriwa na daktari kulala hivyo. Na nimepona kabisa. Ila kwenye tatizo lako la hedhi hilo sijui tafuta wataalamu wa magonjwa ya kina mama.
 
Back
Top Bottom