Huu ugonjwa nasikia hata kukiss pia inasababishaKuna post moja mtu alicomment kwamba huu ugonjwa unaweza pia kuambizwa kwa njia kujamiiana, kuna ukweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna post moja mtu alicomment kwamba huu ugonjwa unaweza pia kuambizwa kwa njia kujamiiana, kuna ukweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huu ugonjwa haujulikani kabisa, wamekaa kimya hawatoi elimu yoyote. Chanjo ipo lkn hakuna uhamasishaji.Ila hii kitu , Wizara ya Afya na Wizara ya Elimu , walipaswa kuitazama na ikiwezekana , waingizie ktk mtaala wa shule uko sekondar , wanafunzi wafundishwe km ilivo HIV .Kwa maana Ni yapolepole lkn Uharibifu wake ni wa Uhakika.
Mungu Nilinde Mja wako!!
100% true na haswa hepatitis B
Sent from my iPhone using JamiiForums
SIO KWELI,WATU WENGI WAMEKUA WAKIWORSEN KWA KUFUATA HIZI PLACEBO MANAGEMENT... MIWA HAINA ANATI HEPATITIS ACTIVITY,INAPUNGUZA BILIRUBIN PEKEEnajibu lakini nimekalia nafasi ya Mtu
tiba ya huu ugonjwa ni Miwa kwa wingi
Shusha nondo hapa mkuu wengine wapate kufaidikaPole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Kuna dawa moja ya AG ni kiboko yao
Ogopa matapeliPole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Asante mkuu...Pole sana,mugu atakuponya
Sijui historia yako ktk makuzi yako huenda ni sababu moja wapo yaani lifestyle ya ukuaji wako.
Nashkuru mkuu.. nitafurahi kama itapatikanaFight kubalance mwili wako. Nimekuwa nikideal sana na Get well summit, ni summit ya ma dr wakubwa US na Canada ambao wanadeal na tiba mbadara, na kuna moja inaongelea hayo matatizo ya hedhi na maumivu sijui kama badonitakuwa nayo maana uwa wananitumia niziwekee subtittles halafu nikishawarudishia uwa nazifuta kwenye maktaba yangu.
Nadhani ingekusaidia, yani inaelekea afya zetu zinakuwa affected sana na vyakula tunavyokula. Kwenye summit zao huwezi amini wao wanasema mafutayani vyakula vyenye mafuta ni vizuri wanapingana na ma dr hawa wengine ila wanaita good fats.
Asante sana mkuu..Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Dawa ya aina gani?Kuna dawa moja ya AG ni kiboko yao
labda uliwai kutumia madawa yakuzuia kupata mimba,au uliwai kutoa mimba au michezo na mazoezi bila kusahau vyakulaAsante mkuu...
Lifestyle kama ya namna gani?