Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Asante sana kwa ushauri...
Nmeshahudhuria sana hospital na kupima kila aina ya vipimo .. nmeambiwa sina tatizo ndio maana nachanganyikiwa.
 
Ungeweka hapa hapa kwa faida ya wengi Mkuu Siku hata mtu mwingine akipata taabu anajua nini cha kufanya
 
Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedaneπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, sio dktari Mimi.

Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
 
Jamani Nina ndgu yangu amepima akakutwa na homa ya manjano...tafadhari naombeni msaada wenu
 
Pole Sana, naomba kufahamu yafuatayo:

1. kwenye familia yenu kuna tatizo la Gout au Rheumatism? dalili zake ni maumivu ya viungo na wakati mwingine vinavimba.

2. Kwa Maelezo yako ni kama vile ulipima kiwango cha URIC ACID kwenye damu,je walikufanyia kipimo kingine chochote? Nashauri umuone daktari bingwa wa mifupa atakusaidia kukufanyia vipimo vya juu zaidi na hatimae kukusaidia.

3. Kuhusu tatizo la hedhi,sababu zinaweza kuwa nyingi sana,na hili pia nashauri umtafute daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama atakusaidia.

Narudia tena kukupa pole!
 
Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedane[emoji2][emoji2], sio dktari Mimi.

Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
Apige game apone bhana siku hyo bao5 zinaitajika kunyoosha kiuno na njia ya hedhi...
 
Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedaneπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, sio dktari Mimi.

Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ingekua ni ugwadu tatizo lingekua lishaisha maana nagegedana sanaaa
 
Ulipewa dawa Gani hosp? au ni dawa gani ulizokua unazitumia mara kwa mara? nitajie kwa majina kwa hilo tatizo la kwanza!!
 
Asante mkuu...
1. Hatuna historia ya magonjwa hayo kwetu.
2. Ndio nlipima Uric acid.. weekend inayofuata pia natakiwa nirudi hospitali.. nitaonana na daktari wa mifupa.
3. Nmeshahudhuria pia kwa daktari wa wanawake na kufanyiwa uchunguzi sana.
Nashukuru kwa ushauri mkuu.
 
Weka hadharani wengi wapate kupona.
 
Habari wandugu. Leo katika mihangaiko yangu ya kila Siku nimekutana na swala na kufanya vipimo vya afya hasa kupima ugonjwa wa manjano. Ndio Mara yakwanza kuusikia naomba mnijuze je wanapimaga vipimo vyake kwa gharama gani na sehemu gani wako vizuri kwa huduma.
 

njoo pm nadhan naweza kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…