Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Oooh.. nmekuelewalabda uliwai kutumia madawa yakuzuia kupata mimba,au uliwai kutoa mimba au michezo na mazoezi bila kusahau vyakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh.. nmekuelewalabda uliwai kutumia madawa yakuzuia kupata mimba,au uliwai kutoa mimba au michezo na mazoezi bila kusahau vyakula
Asante sana kwa ushauri...Kwa kiuno na mgongo ningekushauli usipende kulalia godoro lilioisha. Unapo kwenda tandika chini mkeka na lala kwa kutumia tumbo kwa muda wa wiki mbili kama utashindwa kulala bila kutumia mto, tumia mto laini u wenye unene kama nchi 2, Hiyo ndiyo dawa niliyo itumia mimi kwa tatizo lako la kiuno na mgongo, nilishauriwa na daktari kulala hivyo. Na nimepona kabisa. Ila kwenye tatizo lako la hedhi hilo sijui tafuta wataalamu wa magonjwa ya kina mama.
Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Apige game apone bhana siku hyo bao5 zinaitajika kunyoosha kiuno na njia ya hedhi...Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedane[emoji2][emoji2], sio dktari Mimi.
Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
Tarh 3 aende kuanza dawaHoma ya ini au manjano?
Anaway kwani madactari waliompima wanasemaje?
Yaan clinicTarh 3 aende kuanza dawa
😂😂😂 ingekua ni ugwadu tatizo lingekua lishaisha maana nagegedana sanaaaZamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedane😃😃, sio dktari Mimi.
Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
Asante mkuu...Pole Sana, naomba kufahamu yafuatayo:
1. kwenye familia yenu kuna tatizo la Gout au Rheumatism? dalili zake ni maumivu ya viungo na wakati mwingine vinavimba
2. Kwa Maelezo yako ni kama vile ulipima kiwango cha URIC ACID kwenye damu,je walikufanyia kipimo kingine chochote? Nashauri umuone daktari bingwa wa mifupa atakusaidia kukufanyia vipimo vya juu zaidi na hatimae kukusaidia
3. Kuhusu tatizo la hedhi,sababu zinaweza kuwa nyingi sana,na hili pia nashauri umtafute daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama atakusaidia.
Narudia tena kukupa pole!
Mara nyingi nmekua nikitumia aceclofenacUlipewa dawa Gani hosp? au ni dawa gani ulizokua unazitumia mara kwa mara? nitajie kwa majina kwa hilo tatizo la kwanza!!
Duuuh basi pole😂😂😂 ingekua ni ugwadu tatizo lingekua lishaisha maana nagegedana sanaaa
ooh ok, hiyo tu!! maana kwa tatizo lako sio dawa moja tuMara nyingi nmekua nikitumia aceclofenac
Weka hadharani wengi wapate kupona.Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Habari wakuu,
Ni muda wa miezi sita sasa napata tatizo la kuwa na maumivu ya mgongo na sehemu za nyonga.
Mwezi wa pili nlienda hospital, nikamuelezea Dokta juu ya hili tatizo, nikapimwa damu kutokana na maelezo yangu na majibu yakaja kuwa kiwango cha acid kimezidi kwenye damu hivyo nina gout.
Kiukweli kwa umri wangu mdogo nimeshangaa sana kupata hitilafu hii na vile vile mimi sio mpenzi wa nyama nyekundu kabisa... nyama nyingi ninayokula ni samaki, kwa hiyo nilipewa dawa za kutumia, nikamaliza na dose kabisa lakini tatizo limerudi pale pale.
Vile vile nina shida ya kupitiliza siku za hedhi, naweza kukaa hadi miezi mitano sjaona sku zangu... nmeshapima vipimo vyote naonekana nipo vizuri, nmeshatumia sana dawa za hospital, naweza kwenda sawa kwa miezi miwili au mitatu tu baada ya hapo tatizo limajirudia.. hata dawa za mitishamba nmetumia pia sana lakini hazijanisaidia.
Naombeni mnisaidie wakuu itakua chanzo nini? Nateseka sana.
Mama Debora na mimi nimapata homa ya manjano.. Ume wezaje kuutibu ugonjwa huu..?Yes.