Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Kwa kiuno na mgongo ningekushauli usipende kulalia godoro lilioisha. Unapo kwenda tandika chini mkeka na lala kwa kutumia tumbo kwa muda wa wiki mbili kama utashindwa kulala bila kutumia mto, tumia mto laini u wenye unene kama nchi 2, Hiyo ndiyo dawa niliyo itumia mimi kwa tatizo lako la kiuno na mgongo, nilishauriwa na daktari kulala hivyo. Na nimepona kabisa. Ila kwenye tatizo lako la hedhi hilo sijui tafuta wataalamu wa magonjwa ya kina mama.
Asante sana kwa ushauri...
Nmeshahudhuria sana hospital na kupima kila aina ya vipimo .. nmeambiwa sina tatizo ndio maana nachanganyikiwa.
 
Ungeweka hapa hapa kwa faida ya wengi Mkuu Siku hata mtu mwingine akipata taabu anajua nini cha kufanya
Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
 
Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedane😃😃, sio dktari Mimi.

Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
 
Jamani Nina ndgu yangu amepima akakutwa na homa ya manjano...tafadhari naombeni msaada wenu
 
Pole Sana, naomba kufahamu yafuatayo:

1. kwenye familia yenu kuna tatizo la Gout au Rheumatism? dalili zake ni maumivu ya viungo na wakati mwingine vinavimba.

2. Kwa Maelezo yako ni kama vile ulipima kiwango cha URIC ACID kwenye damu,je walikufanyia kipimo kingine chochote? Nashauri umuone daktari bingwa wa mifupa atakusaidia kukufanyia vipimo vya juu zaidi na hatimae kukusaidia.

3. Kuhusu tatizo la hedhi,sababu zinaweza kuwa nyingi sana,na hili pia nashauri umtafute daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama atakusaidia.

Narudia tena kukupa pole!
 
Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedane[emoji2][emoji2], sio dktari Mimi.

Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
Apige game apone bhana siku hyo bao5 zinaitajika kunyoosha kiuno na njia ya hedhi...
 
Zamani nilikuwa nasikia mtu akipata tatizo anaambiwa agegedane😃😃, sio dktari Mimi.

Nilisikia mahali tu kwamba tatizo linakuwa ugwadu umezidi
😂😂😂 ingekua ni ugwadu tatizo lingekua lishaisha maana nagegedana sanaaa
 
Ulipewa dawa Gani hosp? au ni dawa gani ulizokua unazitumia mara kwa mara? nitajie kwa majina kwa hilo tatizo la kwanza!!
 
Pole Sana, naomba kufahamu yafuatayo:
1. kwenye familia yenu kuna tatizo la Gout au Rheumatism? dalili zake ni maumivu ya viungo na wakati mwingine vinavimba
2. Kwa Maelezo yako ni kama vile ulipima kiwango cha URIC ACID kwenye damu,je walikufanyia kipimo kingine chochote? Nashauri umuone daktari bingwa wa mifupa atakusaidia kukufanyia vipimo vya juu zaidi na hatimae kukusaidia
3. Kuhusu tatizo la hedhi,sababu zinaweza kuwa nyingi sana,na hili pia nashauri umtafute daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama atakusaidia.

Narudia tena kukupa pole!
Asante mkuu...
1. Hatuna historia ya magonjwa hayo kwetu.
2. Ndio nlipima Uric acid.. weekend inayofuata pia natakiwa nirudi hospitali.. nitaonana na daktari wa mifupa.
3. Nmeshahudhuria pia kwa daktari wa wanawake na kufanyiwa uchunguzi sana.
Nashukuru kwa ushauri mkuu.
 
Pole sana imenigusa sana hiyo:miaka kama 8 iliyo pita niliwahi kuumwa kama kama unavo umwa pengine ni zaid ya hapo..mkuuu nilihangaika kila hospital mfano agakan mhimbili ikonda nilitumia kila aina ya gharama,miguu iliwaka moto nikilala kitandani asubuhi ninapo shuka kitandani ni shida mguu imekufa ganzi,nyumbani tendo ni shida nikipiga bao nyumban nitakapo inuka hapo kiuno kinauma balaa,wakati huo mwili wote ulikufa ganzi nikikaa kuinuka ka timing maana mgongo kiuno ni tatizo nilipona nitafte nikusaidie mbinu nilizo tumia mm.[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1303]
Weka hadharani wengi wapate kupona.
 
Habari wandugu. Leo katika mihangaiko yangu ya kila Siku nimekutana na swala na kufanya vipimo vya afya hasa kupima ugonjwa wa manjano. Ndio Mara yakwanza kuusikia naomba mnijuze je wanapimaga vipimo vyake kwa gharama gani na sehemu gani wako vizuri kwa huduma.
 
Habari wakuu,

Ni muda wa miezi sita sasa napata tatizo la kuwa na maumivu ya mgongo na sehemu za nyonga.

Mwezi wa pili nlienda hospital, nikamuelezea Dokta juu ya hili tatizo, nikapimwa damu kutokana na maelezo yangu na majibu yakaja kuwa kiwango cha acid kimezidi kwenye damu hivyo nina gout.

Kiukweli kwa umri wangu mdogo nimeshangaa sana kupata hitilafu hii na vile vile mimi sio mpenzi wa nyama nyekundu kabisa... nyama nyingi ninayokula ni samaki, kwa hiyo nilipewa dawa za kutumia, nikamaliza na dose kabisa lakini tatizo limerudi pale pale.

Vile vile nina shida ya kupitiliza siku za hedhi, naweza kukaa hadi miezi mitano sjaona sku zangu... nmeshapima vipimo vyote naonekana nipo vizuri, nmeshatumia sana dawa za hospital, naweza kwenda sawa kwa miezi miwili au mitatu tu baada ya hapo tatizo limajirudia.. hata dawa za mitishamba nmetumia pia sana lakini hazijanisaidia.

Naombeni mnisaidie wakuu itakua chanzo nini? Nateseka sana.

njoo pm nadhan naweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom