blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
K mkuu! Inasikitisha sana.Alaf bifu hili ndiyo lisiloeleweka chanzo chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K mkuu! Inasikitisha sana.Alaf bifu hili ndiyo lisiloeleweka chanzo chake
Mtu akiongea ukweli unaitwa pumba.We umeongea pumba Sana.
Tumsifu Yesu KristoNi kuwekana Sawa tu Mkuu Usijali
Mkuu umeua 🙉🤣🤣 hivi huwa mna familia mkifika nyumbani mnaitwa baba/ mama, watoto wenu wakiona post zenu huku mitandaoni si watacheka sanaWalimuomba aka sema .Labda wawape lukambao yule mpiga picha wa diamond akapige show
SUBIRI KIDOGO
Nadhani Diamond akienda kupiga show ndo itakua mwisho wa kipindi chenyewe maana kila msanii atayekuja kupeform baada ya Chibu utamuona kama takataka tu.Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,
Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?
Wakuu mkimwona siku mnitag
Usiku mwema
Sasa hapo si atakuwa kaongeza umaarufu wa kipindi??Yaani kwa jinsi Diamond anapenda masifa siku wakimuita atapiga show bora kabisa kuwahi kutokea katika hicho kipindi cha homa , yaani waisidiriki kumuita maana atawatia aibu plus adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna shida gani kama watakuwa wamefika dau!!!Sasa hapo si atakuwa kaongeza umaarufu wa kipindi??
akili zingine bwana
We umeongea pumba Sana.
Uzinduzi wa album yake ya "A boy from Tandale" kafanya na live band na kaperform vizuri Sana lakini pia show yake ya one mic one man aliyoifanya sumbawanga alifanya na live band na alifanya vizuri Sana SEMA tu Diamond anachagua baadhi ya show za kufanya na live bandWewe umeanza kumshabikia lini Diamond? Ukweli lazima usemwe Diamond ni msanii mzuri na perfomer mzuri sana hasa kwenye play back! Lakini kwa swala la kuimba live Diamond bado anatakiwa kujifunza kwa wengine wakina Jide,Christian Bella na Barnaba!
Huu ni ukweli ambao hata Diamond anaujua kabisa!
Uzinduzi wa album yake ya "A boy from Tandale" kafanya na live band na kaperform vizuri Sana lakini pia show yake ya one mic one man aliyoifanya sumbawanga alifanya na live band na alifanya vizuri Sana SEMA tu Diamond anachagua baadhi ya show za kufanya na live band
Mkuu huyu jamaa sisi tumemwambia anabisha unapoteza muda wako bure..Kufanya live na kuwa na uwezo wa kufanya hivyo ni vitu viwili tofauti! Diamond hafanyi mazoezi ya muda mrefu ya kuimba live sauti inamsumbua sana na uzuri mimi nimesha udhuria baadhi ya show zake akiimba live yani unaweza tamani aweke Cd apandishie!
Yeah ile ilikuwa playback nilicheck behind the scene mkuuMkuu huyu jamaa sisi tumemwambia anabisha unapoteza muda wako bure..
Diamond ni msanii mkali mnoo na performer mzuri lakini sio mzuri akiwa live ila anajifunza tuseme .
Kumbe hata ile show ya MTV aliofanyia home ..hakuimba live pia ilikuwa playback na live pia maana angeimba live lazima angepitwa na ile Bridge ..
Tuseme ukweli sio chuki