Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

Hii ya kuimba live inalipa kweli......maana nikienda baa ndio nakutana na live band halafu kiingilio kinywaji

Kama haileti hela basi haimeki sensi! Ukiona mtu anaendelea kufanya jambo ujue linamlipa au ameona mbele kabisa kuwa linakuja kumlipa zaidi! Speaking of Homa ya Tv-E wadhamini wanao
 
Ulicho kiweka sicho tuncho kijadili hapa mkuu!
Mnazungumzia jukwaa la EFM,yy amepata nafasi ktk jukwaa la Essence Festival........at the end of the day yote majukwaa ila hadhi tofauti.

Mimi nilikuwa na toa taarifa KADA mtiifu wa CCM kama nimekukwaza samahani ,ila hiyo ndio taarifa niliyoipata.
 
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,

Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?

Wakuu mkimwona siku mnitag

Usiku mwema
Endelea kusubiri boti airport
 
Nazani majizzo anamchukulia Diamond as competitor wake kwenye media ndo maana inakuwa Ni ngumu Sana kutokea Hilo lakini hii sababu Ni ya hovyo kwa sababu Ni still diamond Ni mwanamziki
Mondi alikula baby mama wa majizo
FULL STOP
 
Back
Top Bottom