Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

Wewe umeanza kumshabikia lini Diamond? Ukweli lazima usemwe Diamond ni msanii mzuri na perfomer mzuri sana hasa kwenye play back! Lakini kwa swala la kuimba live Diamond bado anatakiwa kujifunza kwa wengine wakina Jide, Ruby,Christian Bella na Barnaba

Diamond bado anayo nafasi ya kujifunza kuimba kwa vyombo vya muziki maana anafubdishika na ni mtu anaye jituma! Lakini kwa swala la kuimba na live band bado anahitaji kujifunza!

Nilimuona miaka ya nyuma alijitahidi sana show moja na msanii Jar press(kama sijakosea) nilidhani ataendelea kujifunza kwakuwa ilikuwa ni good start! Diamond ana sumbuliwa na sauti kwenye kuimba live.... WCB hapo mwenye uwezo wa kuimba live muda mrefu ni Mboso maana ndio alikulia uko!

Huu ni ukweli ambao hata Diamond anaujua kabisa!
Acha porojo,yaani diamond ajifunze kwa ruby kuperform live?you can't be serious
 
Mkuu huyu jamaa sisi tumemwambia anabisha unapoteza muda wako bure..

Diamond ni msanii mkali mnoo na performer mzuri lakini sio mzuri akiwa live ila anajifunza tuseme .

Kumbe hata ile show ya MTV aliofanyia home ..hakuimba live pia ilikuwa playback na live pia maana angeimba live lazima angepitwa na ile Bridge ..

Tuseme ukweli sio chuki
Kumbe haukuisikiliza....?
 
Acha porojo,yaani diamond ajifunze kwa ruby kuperform live?you can't be serious

I can’t be serious because you think Diamond knows everything and he is the king of everything! Hivi kweli kama wewe unajua muziki unaweza kudiriki kusema Diamond awezi kujifunza kitu kutoka kwa Ruby?

Hivi kweli Diamond anaweza mfikia Ruby kuimba Live hata chembe? Hivi unajua kweli kinacho ongelewa? Diamond ni good perfomer lakini kamwe awezi kumfikia Ruby kuimba hasa Live na band na kwa tanzania Ruby ni namba one tanzania kwa kuimba live na kuimba!

Hata Diamond anajua kabisa hamfiki kabisa Ruby kuimba.....:..:.......
Diamond analo lakujifunza kutoka kwa Ruby huu ndio ukweli!
 
Chibunye hajui Kuimba na Live band, labda afanye Mazoezi miezi 6
 
Kinachofanya diamond asiwe mzuri zaidi kwenye live ni yeye kuwekeza kwenye kucheza zaidi, na ni wasanii wachache sana wanaoweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja.

All in all, diamond hata akipiga makelele bado kuna watu tutamshabikia tu [emoji3] kwakuwa Diamond anabaki kuwa Diamond kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo fleva.
Wewe umeanza kumshabikia lini Diamond? Ukweli lazima usemwe Diamond ni msanii mzuri na perfomer mzuri sana hasa kwenye play back! Lakini kwa swala la kuimba live Diamond bado anatakiwa kujifunza kwa wengine wakina Jide, Ruby,Christian Bella na Barnaba

Diamond bado anayo nafasi ya kujifunza kuimba kwa vyombo vya muziki maana anafubdishika na ni mtu anaye jituma! Lakini kwa swala la kuimba na live band bado anahitaji kujifunza!

Nilimuona miaka ya nyuma alijitahidi sana show moja na msanii Jar press(kama sijakosea) nilidhani ataendelea kujifunza kwakuwa ilikuwa ni good start! Diamond ana sumbuliwa na sauti kwenye kuimba live.... WCB hapo mwenye uwezo wa kuimba live muda mrefu ni Mboso maana ndio alikulia uko!

Huu ni ukweli ambao hata Diamond anaujua kabisa!
 
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,

Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?

Wakuu mkimwona siku mnitag

Usiku mwema
Hajui kuimba live ataaibika bure . Kazoea kuimba na CD.
 
Yaani kwa jinsi Diamond anapenda masifa siku wakimuita atapiga show bora kabisa kuwahi kutokea katika hicho kipindi cha homa , yaani waisidiriki kumuita maana atawatia aibu plus adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ataimba na CD. Ila CD ikikwama ndo Basi tena. Msanii wa playback yule akiimba live duuu atapata aibu bya karne
 
Last year alikuwa Rayvanny leo Mondi Essence festival 2020.
104155656_174426370765092_968953101674656279_n.jpg
 
I can’t be serious because you think Diamond knows everything and he is the king of everything! Hivi kweli kama wewe unajua muziki unaweza kudiriki kusema Diamond awezi kujifunza kitu kutoka kwa Ruby?

Hivi kweli Diamond anaweza mfikia Ruby kuimba Live hata chembe? Hivi unajua kweli kinacho ongelewa? Diamond ni good perfomer lakini kamwe awezi kumfikia Ruby kuimba hasa Live na band na kwa tanzania Ruby ni namba one tanzania kwa kuimba live na kuimba!

Hata Diamond anajua kabisa hamfiki kabisa Ruby kuimba.....:..:.......
Diamond analo lakujifunza kutoka kwa Ruby huu ndio ukweli!
Hii ya kuimba live inalipa kweli......maana nikienda baa ndio nakutana na live band halafu kiingilio kinywaji
 
Back
Top Bottom