Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

Hii ya kuimba live inalipa kweli......maana nikienda baa ndio nakutana na live band halafu kiingilio kinywaji

Kama haileti hela basi haimeki sensi! Ukiona mtu anaendelea kufanya jambo ujue linamlipa au ameona mbele kabisa kuwa linakuja kumlipa zaidi! Speaking of Homa ya Tv-E wadhamini wanao
 
Ulicho kiweka sicho tuncho kijadili hapa mkuu!
Mnazungumzia jukwaa la EFM,yy amepata nafasi ktk jukwaa la Essence Festival........at the end of the day yote majukwaa ila hadhi tofauti.

Mimi nilikuwa na toa taarifa KADA mtiifu wa CCM kama nimekukwaza samahani ,ila hiyo ndio taarifa niliyoipata.
 
Endelea kusubiri boti airport
 
Nazani majizzo anamchukulia Diamond as competitor wake kwenye media ndo maana inakuwa Ni ngumu Sana kutokea Hilo lakini hii sababu Ni ya hovyo kwa sababu Ni still diamond Ni mwanamziki
Mondi alikula baby mama wa majizo
FULL STOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…