Home of AC Milan, Official Thread

Milan 3-2 Palermo...
Caros Bacca
Bonaventura
caros Bacca...

forza Milan
 
Wakati hayo yakijiri...
na huko ktk uwanjavwa Juventus Stadium Juve walitoshana nguvu na katimu kalikopanda daraja kaitwacho Frosione... Heh heh heh Juve Futuhi
 
Makamu mwenyekiti wa AC Milan muheshimiwa Adriano Galiani ametanabaisha kuwa mechi ya jumanne dhidi ya Udinese ilioisha kwa Milan kushinda magoli matatu kwa mawili 3-2 ilimkumbusha matokeo ya Milan dhidi ya Liverpool matokeo yaliomalizika kwa kufungana magoli 3-3......
 
Wakati hayo yakijiri...
na huko ktk uwanjavwa Juventus Stadium Juve walitoshana nguvu na katimu kalikopanda daraja kaitwacho Frosione... Heh heh heh Juve Futuhi

ha ha ha ha ha kweli hii ajabu yan wamcheka juve wakat mwaka juz kipind sosuolo anapanda daraja alikupga 4:0 tena zote mtu mmoja bernad kinda wa miaka 19
 
wewe ongelea kichapo cha juzi toka kwa Celta de Vigo
 
Wakati hayo yakijiri...
na huko ktk uwanjavwa Juventus Stadium Juve walitoshana nguvu na katimu kalikopanda daraja kaitwacho Frosione... Heh heh heh Juve Futuhi

Team hii ishapotea aiseee ac ilikua zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…