Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Inter vs AC Milan tonight...
Mnacheza na hasimu wetu wa jadi lakini sioni namna gani mnachomoka leo, mtaukalia tu na line up yenu hii ya kichovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inter vs AC Milan tonight...
Inter vs AC Milan tonight...
Chomoeni goli hilo. Mtampaje clean sheet inter
Wakati hayo yakijiri...
na huko ktk uwanjavwa Juventus Stadium Juve walitoshana nguvu na katimu kalikopanda daraja kaitwacho Frosione... Heh heh heh Juve Futuhi
ha ha ha ha ha kweli hii ajabu yan wamcheka juve wakat mwaka juz kipind sosuolo anapanda daraja alikupga 4:0 tena zote mtu mmoja bernad kinda wa miaka 19
Wakati hayo yakijiri...
na huko ktk uwanjavwa Juventus Stadium Juve walitoshana nguvu na katimu kalikopanda daraja kaitwacho Frosione... Heh heh heh Juve Futuhi
Team hii ishapotea aiseee ac ilikua zamani
wewe ongelea kichapo cha juzi toka kwa Celta de Vigo
zamani we ulikuwepo?
au umbea tu?