Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #3,101
#ACMilan chiefs Ivan Gazidis & Paolo Maldini reportedly clash over a potential deal for #Arsenal midfielder Mesut Ozil
Fenerbahce are interested in signing Zapata offering him a two and a half year contract worth €2.4M per year. Milan don’t want to sell him despite his expiring contract [@DiMarzio]
Usajili wa Piatek ni wakupongezwa. Na kumuachia Higuain pia panahitajika pongezi.
Ila kazi bado haijesha.
Bakayoko, Borini, Zapata, Kessie, Suso, Calhanoglu, Biglia, Reina, Rodriguez. naona wanahitajika kuondoshwa kwa haraka.
(Suso, Calhanoglu, Rodriguez na Kessie) wanaweza kuleta pesa nzuri itakayofanikasha kuweza kufanya usajili zuri.
Asajiliwe Emerson for Left back position na wasijiliwe Sandro Tonali na Stefano Sensi, kwa ajili midifield na Diego Perotti kwa left side foward pamoja na major singing ya attacking kama Douglas Costa
Huyu Ivan Gazidis jamaa anataka kuchafua hii timu, Kwanini hamuachii Leonardo akafaya kazi yake?
Tatizo FFP ndugu yangu...
Tatizo la wazungu bana kila Mtu anafanya kazi hadi mwisho wa mpaka wake. Unapoona Gazidis ameingilia ujue ana mamlaka napo
Gazidis hajaletwa Milan kuleta makombe,ameletwa kutengeneza Milan ijiendeshe kibiashara ili kufit kwenye FFP.Usajili wa wachezaji kama Higuain,Bonucci umewacost Sana Milan ndio maana Gazidis amekuja usajili wa Piatek & Paqueta umekuwa kwa fedha ndogo licha ya kuwa ni potential playersMluu leonardo ndio anaehusika na transfer. Yule yaya ni DIrector mkuu w timu anaweza hata kapanga eleven akiamua haimaanishi kama na ile ni kazi yake. Jamaa uelewo wake wa mpira ni mdogo sana yupo kibiashara zaidi na ndilo aliloletewa pale. Miaka yote aliyokaaa Arsenal hakuna alchowapa. Lawama ziliishia kwa Wenger u japo kua mshirika wake hakutizamwa.
Gazidis hajaletwa Milan kuleta makombe,ameletwa kutengeneza Milan ijiendeshe kibiashara ili kufit kwenye FFP.Usajili wa wachezaji kama Higuain,Bonucci umewacost Sana Milan ndio maana Gazidis amekuja usajili wa Piatek & Paqueta umekuwa kwa fedha ndogo licha ya kuwa ni potential players
Sent using Jamii Forums mobile app
Your missing the point Gazidis ameletwa kutengeneza Milan iweze kujiendesha kufit FFP baada ya makosa yaliyofanywa na kina Fasone na Mirabeli yaliyosababisha Milan kupewa adhabu na UEFAmkuu usiropokwe, Piatek na Paqueta wameletwa na Leonardo. Usajali wa Paqueta ulishakamilika mda tu kabla hajaja Gazidis.
Your missing the point Gazidis ameletwa kutengeneza Milan iweze kujiendesha kufit FFP baada ya makosa yaliyofanywa na kina Fasone na Mirabeli yaliyosababisha Milan kupewa adhabu na UEFA
Leonardo ni DOF while Gazidis ni CEO,as DOF hawezi sajili mchezaji bila approval ya CEO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaijua financial status ya Milan ?Hapo ndipo kwenye point yangu mkuu. Leonardo ni master kwenye usajilu, jamaa ueleo wake wa mpira ni mzuri sana, usipo mruhusu afanye kazi yake vizuri mutakosana tu. Tizama alivoitengeneza PSG kwa muda mfupi tu. na walipoanza kumuingilia kwenye kazi yake akawaachia timu.
Gazidis anaweza kuisadia timu kua na stability nzuri ya uchumi lakini si kwenye ushindani wa uwanjani, tizama Arsenal tu utapata picha halisi.
Kablock deal ya Fabrigas na kazuia kufanya mazungumzo kwa Ozil. sababu ni umri wao. Wakati ni wachezaji ambao wangeifaa milan kwa muda huu. Uzee wa fabrigas si ujana wa Bakayoko kabisa.