Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #281
mwaka wa njaa kwa milan!!!kwani JUVE kileleni ndo hatung'oki!hao arsenal nao wana njaa ya mafanikio chini ya uongozi wa dutch master RVP mshambuliaji mwenye njaa anayeweza kukuua kwa style yeyote aidha mguu wa kulia au kushoto,ndani ya 18 au kutoka mbali,hana impossible angle yeye anatupia tu popote atapoliangalia goli!!!!mbio za WALCOT na CHAMBERLAIN ndo silaha itayowaumiza MILAN
AC Milan have signed midfielder Sulley Muntari on
loan from city-rivals Inter until the end of the
season. Ghana international Muntari, whose contract with
Inter expires in the summer, as made just four
appearances in Serie A for the Nerazzurri this
season. "AC Milan announces it has acquired Sulley Muntari
on a temporary loan," the Rossoneri said in a
statement. Milan opted to make a move for the 27-year-old
after losing midfielder Alexander Merkel last week
to a knee injury for two months. Merkel only returned to Milan earlier this month in
joint ownership from Genoa with the Rossoneri
facing a shortage in midfield due to the injury
problems of Mathieu Flamini, Gennaro Gattuso and
Alberto Aquilani. Former Sunderland player Muntari becomes Milan's
fifth reinforcement in the winter transfer market
and their second of the day after teenage Austrian
striker Philipp Prosenik joined from Chelsea.

Anafahamika kwa majina Alesandro Nesta.
Inaaminika na kusadikika kuwa tangu aondoke Franco Baresi basi hakuna kama.
Hewani anakwenda, uvunguni ndio bingwa, anajuwa kupanga ukuta, anapiga mitungi kwenye 18 ya mahasidi.
Mara yako ya mwisho kuona anapewa kadi nyekundu ni lini?
Huyo ndio dawa ya kina Chembalaini.
Nesti ataunga tela kwa Chengaline!
Every rule has an exception - even 'old is gold'!
countdown - 2 days left, milan kutunguliwa na mitutu ya gunners!
milan hachomoki kwa gunners!!!ni kisago cha mbwa mwizi!chamberlain atawafanya hamna mulemule giusseppe meazza!!
countdown - 2 days left, milan kutunguliwa na mitutu ya gunners!
arse8 mkae mkijuwa mnacheza na timu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni.
Mkae mkijuwa mnacheza na timu ilochezewa na nyota wengi zaidi hapa ulimwenguni.
Boateng told The Sun.
"The problem with Arsenal is one day they play
amazing football ..unbelievable football ... they're
always close..."
Kila mwenye chuki na siie
Ujumbe huu umfikie
Kila mwenye chuki na siie
ujumbe huu umfikie
Mtazidi kutuchukiia
Na Dunia mtaiona chungu
Weeeh
Kindumbwe ndumbwe
Kindumbwe ndumbwe