Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #381
haha kwa ile game ,mliyocheza jana shekh nakuhakikishia Nou camp hamtoki...!! mtalala zaidi ya goli tatu ... ukibisha ni ujeuri huo..! labda fitna itumike!
barca hata siku moja hawajaumbwa kudeffend na huwezi kuja kuwaona hata mara moja wao n wanaume wa kwenda mbele tu.so kaz n kwenu.
Milan hawajawahi kufungwa ktk hatua ya robo fainali pale Sansiro.
So hata Barca wangekuwa 16 uwanjani wasingeshinda
kwa hiyo bora wakawatolee camp nini kiliko kutolewa nyumbani kwenu..
jamaa wana Pitch mbaya saana! alilalamika wenger! pitch mbaya!! walipokwenda london kwenye pitch nzuri wakapigwa TATU... na kocha wa barca kaliona hilo aim sure wakifika nou camp uwanja mzuri wataoga goli tu... sijui kwanini uwanja wao upo vile! wanacheza rugby nini pale..?!
kaka rekebisha rekodi yako,kwani nusu fainali uefa champions league 2005-2006 ludovic giuly aliwafunga wapi?na je walikuwa wangapi barca uwanjani?je ilikuwa mwananyamala lucky rangers?ebu nenda au gonga hapa chini kwa data zaidi,barca ya sasa ni noma sio ya zamani sawa ilikuwa chenga twawala lakini twafungwa,hii ndio imepeleka world cup spain kwa mara ya kwanzaMilan hawajawahi kufungwa ktk hatua ya robo fainali pale Sansiro.
So hata Barca wangekuwa 16 uwanjani wasingeshinda
juve anategemea sana mechi ya derby della madonnina yaani inter vs ac milan ndio itampa sana nguvu,maana itakuwa mechi kali sana ya upinzani na hapo huenda ukakuta inter anagombea akacheze uefa champs ligi msimu ujao kwahiyo kazi itakuwepo kwa vijana wa rossenari.