Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

haha kwa ile game ,mliyocheza jana shekh nakuhakikishia Nou camp hamtoki...!! mtalala zaidi ya goli tatu ... ukibisha ni ujeuri huo..! labda fitna itumike!

Milan hawajawahi kufungwa ktk hatua ya robo fainali pale Sansiro.
So hata Barca wangekuwa 16 uwanjani wasingeshinda
 
kwa hiyo bora wakawatolee camp nini kiliko kutolewa nyumbani kwenu..

jamaa wana Pitch mbaya saana! alilalamika wenger! pitch mbaya!! walipokwenda london kwenye pitch nzuri wakapigwa TATU... na kocha wa barca kaliona hilo aim sure wakifika nou camp uwanja mzuri wataoga goli tu... sijui kwanini uwanja wao upo vile! wanacheza rugby nini pale..?!
 
Msimu huu huu walitufunga 3-2 pale pale Sansiro...
Mbona hawakulalamika kuwa pitch ni mbovu?
 
Milan hawajawahi kufungwa ktk hatua ya robo fainali pale Sansiro.
So hata Barca wangekuwa 16 uwanjani wasingeshinda
kaka rekebisha rekodi yako,kwani nusu fainali uefa champions league 2005-2006 ludovic giuly aliwafunga wapi?na je walikuwa wangapi barca uwanjani?je ilikuwa mwananyamala lucky rangers?ebu nenda au gonga hapa chini kwa data zaidi,barca ya sasa ni noma sio ya zamani sawa ilikuwa chenga twawala lakini twafungwa,hii ndio imepeleka world cup spain kwa mara ya kwanza
2005
 
bianconeri reduce the gap to two point against the top rossoneri..
 
juve anategemea sana mechi ya derby della madonnina yaani inter vs ac milan ndio itampa sana nguvu,maana itakuwa mechi kali sana ya upinzani na hapo huenda ukakuta inter anagombea akacheze uefa champs ligi msimu ujao kwahiyo kazi itakuwepo kwa vijana wa rossenari.
 
sisi hatusubiri eti Juve wacheze na AS Roma ili ndio tuchukue ubingwa.
Sisi kama sisi tunapambana na kila atakayekaa mbele yetu.
Hayo mambo ya adui mwombee njaa mnayajuwa nyie.
 
MILAN DAIMA...
Milan dominated for years after that, from Sacchi to
Capello, they thrashed Real Madrid 5-0, Barca 4-0
during this time. They Won in 1988, 1989 , lost
1993 final , won 1994 final , lost 1995 final. They
were always in the final during this period. Plus
Barca have no class of the pitch always complaining about something , sore losers. This team is not even
close to Sacch's Milan in their dreamns.......hah hah haaaah Forza Milan
 
SOMA NA HII...
That Milan team was the best in history, not only
with Sacchi but later with Capello as well, there was
continuity, from 88-89 to 94-95 Milan was involved
in 5 european cup finals (in 7 seasons!!) and won 3
of them, the legendary back to back wins in 89 and
90 and the 4-0 demolition of Barça's "dream team" in 94....

MILAN SUMU KWA KWELI MWEH...
 
Sacchi`s Milan was so strong because no one could
score on them if Milan scored a goal it was over but
you can`t say the same for Barca they are strong
but their defense can be scored on.....
 
PEP GUARDIOLA ANASEMA...
'I take it as a given that Milan will score' ....
Barcelona's Guardiola ahead of Champions
League clash at Camp Nou.
 
ngoja tuone leo na mkipaki basi tu imekula kwenu lazima mfungwe maana wanafitna zaidi ya manure from OT..
 
cesc fabregas i soler ndani ya nyumba leo nou camp,kwahiyo ac milan wajiandae kina zlatan,robinho,pato nk wajifue ktk defender leo lol! sina mengi sana tusubiri vitendo baadae hapo nou camp!
 
yaani natamani kweli refa angekuwa Corina au Mr Nilsen au Mr Andrea Frings...
 
Gang, mavi ya kale hayanuki - Milan ya kina Maldini, Albertini na Lentini ni historia ya kale - leo mnapigwa bao tu!
 
Milan anaweza shinda,draw, or ku loose leo. Ila tabia yao ya kulowesha pitch san siro waache tumeona jinsi barca walivyokuwa wanateleza na kuanguka, vivyo hivo kwa Arsenal.
 
mi nilimwambia huyu ... nou camp pale ndio mwisho wa safari... kama arsenal walipiga tatu . barca mtegemee worse.. tatizo sansiro lilikuwa ni pitch mbaya
 
Back
Top Bottom