ujerumani siku zote,vilabu hadi timu ya taifa zinaanza kwa kasi mwisho wake zinafungwa,mbona hao bayern miaka yote wakali wamepoteza final 2 ikiwepo 1 kwao.kaka kuna soka la msimu.mwaka huu wana msimu mzuri.tuache ushabiki ujerumani wana timu kali sana msimu huu.hasa dortmund na bayern.zifuatilie.
ujerumani siku zote,vilabu hadi timu ya taifa zinaanza kwa kasi mwisho wake zinafungwa,mbona hao bayern miaka yote wakali wamepoteza final 2 ikiwepo 1 kwao.
Mbona umetunyima matokeo ya hii mechi!hiki ndicho kikosi kitakachocheza na Zenith leo...
Christian Abbiati; Mattia De Sciglio, Cristian Zapata,
Francesco Acerbi, Djamel Mesbah; Mathieu Flamini,
Massimo Ambrosini, Urby Emanuelson; Kevin-Prince
Boateng, Giampaolo Pazzini, Bojan Krkic.
Bench: Gabriel (GK) Yepes (DEF), Nocerino, N. de
Jong (MID), Robinho, El Shaarawy, Petagna (FW).
Mbona umetunyima matokeo ya hii mechi!
hahahahaha :becky:Walitunanihii lakini kwa mbinde kweli...
kudos milan..Milan 3-1 Reggina.
1. Yepes
2. Niang
3. Pazzini
all in all wanasema dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe...
uefa champs ligi tarehe 20 february 2013 san siro na marudiano 12 march 2013 pale nou camp ndio tutamjuwa Dobi wa kweli hapo kama ni Messi au Shaawary
I wish Cesar Rodrigues Alvares angekuwepo na amuone huyu Messi alivyovunja rekodi yake, nadhani sifa ambazo angemmwagia basi hakuna ambaye angezipata Duniani hata Chitalu.
Hahahha na hauwezi kula muwa bila kukosa fundoHah hah haaaah Gutierez fahamu kuwa ulianza ufizi kisha likaja jino...
Milan ni ngoma ngumu zaidi ya Barca
Hahahha na hauwezi kula muwa bila kukosa fundo
Haya hata mkipendekeza mechi zote mbili home and away zipigwe Turati Road Giusseppe Meazza sawa tu!Sawa boss...
Naomba tu Refa awe Fair katika maamuzi yake, na yasije yakajitokeza yale ya last season ambapo kona ilikuwa haijapigwa then huku mwamuzi akaamuru penati.
Dakika ya 58 As Roma 3-0 Ac milan