Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter

- #101

naona inter alitangulizwa na baiskeli ya mbao dereva sneider kuvika kilima ibrahimovic kona ya boateng pumzi imekata.......napata hisia msimu huu ac milan watafanya vizuri sana!

Pato ailikuwa anawatukana wachina au?

....naona msimu mmeanza kwa nchechemenchecheme!!!!ila kwa cassano pale mmelamba dume na asanteni kwa bunduki Andrea Pirlo The Magician,jana katisha sana akiwa na mkongwe Del Piero Fundi kuhakikisha Bianconeri tunarejesha heshima!
...naona lazio wamewatoa jasho baada ya kutoka suruuu ya 2 2..
...naona mmewabahatisha barca leo!
.....Mkuu lini mtaacha sera zenu zilizo kinyume na za Asenali - sera za kujaza wazee wasioweza kukimbizana na vijana kama Afellay? Halafu hata madogo wenu kama Pato mbona wanaanguka hovyo utadhani wazee? Na huyo Robinho lini atakua? Si heri mumuombe Gaucho na Kaka warudi San Siro?
tumefungwa kwa taaaabu goli 3-1 toka kwa Napoli.

Magoli yao kafunga Cavani na letu kafunga Aquilani.

Nahisi ni uchovu wa safari toka Spain
tumefungwa kwa taaaabu goli 3-1 toka kwa Napoli.
Magoli yao kafunga Cavani na letu kafunga Aquilani.
Nahisi ni uchovu wa safari toka Spain
.....haahaah!mkuu unanikumbusha story la jeba lililoliwa kiboga!limekiri kuliwa ila kwa taabu!!!!.......mkuu hao watoto Napoli mikosi sana watasumbua sana serie A msimu!huyo Cavani ni mnyama namkubali sana!!!!!formation letu Juve la 4-2-4 unalizungumziaje?kati mipira inapita shughuli mbele kwani huyo pirlo sawa na viungo watatu!!!!!
tumefungwa kwa taaaabu goli 3-1 toka kwa Napoli.
Magoli yao kafunga Cavani na letu kafunga Aquilani.
Nahisi ni uchovu wa safari toka Spain
Mkuu how long does it take to travel from Barcelona to Milan? Au wanatumia usafiri wa bus?