Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

juve 1-1 Bologna.
Milan 1-1 Udinese
vucinic japo alitupia ila ila red card aliyopewa nayo imefanya hawa watoto waokote pochi la pesa turin!hao catania mechi ijayo wataeleza!...fundi mzee mzoefu man of the match andrea pirlo kama kawaida yake alitakata sana dimba la kati!.......najua mkuu suluhu kwenu ni matokeo mazuri
 
the legandy of AC Milan Seedorf his only goal is enough to bring a fire to Cesena..jihabarishe hapa Goal.com
 
the legandy of AC Milan Seedorf his only goal is enough to bring a fire to Cesena..jihabarishe hapa Goal.com

Simba dume Clarence Seedorf jana kafunga goli la ukweli kiasi kwamba nimeamini ule msemo usemao hakuna kijiji kisicho na wazee
 
dah old lady amepatulo tena...
Teh teh nauhakika ntamkuta tu.
Juve bila Luciano Moggi inakuwa haina fitna.
 
Hii ilikuwa friendly match?,nafahamu kwamba AC Milan wanacheza na Juventus jumapili

Hata Mie Ndio Navyojuwa wanakipiga na Juventus na watatandikwa na JUVENTUS 2-0 Juve ndio timu nafagilia toka enzi za Roberto Baggio.
 
inter 0-3 Napoli...
Teh teh mtani pole kwa kuchambia stili waya.
 
pazi na Belo tuwe wote kesho kwenye kauwanja kenu kama kale ka Chamazi na muone jinsi tutakavyowavalisha Hijab kina Pirlo, Buffon, Krasic, na Del Peter yeye ndio tutamvalisha Baibui kabisa kwa sababu yeye ni kungwi.
 
Hata Mie Ndio Navyojuwa wanakipiga na Juventus na watatandikwa na JUVENTUS 2-0 Juve ndio timu nafagilia toka enzi za Roberto Baggio.

una akili sana kijana kupenda chama la ukweli leo milan wataokota sana gozi kunyavu!
 
pazi na Belo tuwe wote kesho kwenye kauwanja kenu kama kale ka Chamazi na muone jinsi tutakavyowavalisha Hijab kina Pirlo, Buffon, Krasic, na Del Peter yeye ndio tutamvalisha Baibui kabisa kwa sababu yeye ni kungwi.

muuaji wa leo ni Matri!naona unaomba dua fundi Pirlo asijisikie afadhali!
 
Back
Top Bottom