Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

milan win tropheo tim trophy...
haya waja wa mola mje na mengine
 
dah! Loong tym kweli mkuu! Hapo juu kabisa fanya editing kwenye nafasi ya kocha. Baloteli kaondoka, ni nafuu kwenu, kwani jamaa alikuwa mvivu. Vp msimu huu, tutegemee nini?

msimu umeanza na ndoo...
so hii ni ishara njema
 
Na huyo bwana Torres ataweza kuziba pengo la Super Mario?

cc: Belo na Pazi
Mie naimani Fenando Torres atakuwa mkali Ac Milan si kwa sababu Red ndio inampendeza nafikiri Chelsea wamefanya deal nzuri sababu akiweza kufanya vizuri kuna moja wapo Price kupanda kwenda kwengine au Kubaki Ac Milan na price kupanda kidogo au kumrudisha tena Chelsea ila sizani Kama atarudi asipoweza huko hatoweza tena kokote.
 
Chelsea hawatapata chochote hata kama atarudisha makali yake maana deal ni ya miaka miwili, muda ambao ndio umebaki kwenye mkataba wake. Kwa hiyo loan deal itakapoisha basi na mkataba wake na Chelsea ndio kushney
 
sio tu kuziba, bali kusafisha na kutakatisha michirizi yoote iliotanda kwenye meno ambayo ilisababishwa na uvutaji wa Bangi...

Haya maneno yako ya kwenye kigodoro subiri yakianza kukutokea puani. pachanya Ziroseventytwo juve2012 na obwato mukuje huku mkutane na mbwembwe na tambo za huyu buluda mkongwe aliyeanza kutokwa na ndevu za masikioni
 
Last edited by a moderator:

teh teh katika game dhidi ya Lazio mtu Mzima Torres alikuwapo jukwaani akidekea vijana wakiwakimbiza Lazio...
 
Last edited by a moderator:
Kocha mkuu wa AC Milan mtaliano Pipo Inzaghi ameanza vema mbio za kusaka ubingwa wa Italia maarufu kama Scudeto baada ya vijana wake kuibuka na ushindi mnono wa magoli 3-1...

Magoli ya Milan katika mechi hio yaliwekwa kimiani na Kiungo Keisuke Bodaboda, $uleyman Muntari na kiungo mshereheshaji Jeremy Menez...

Forza Milan
 
Nimeangalia game ya jana nimefurahishwa na viwango vya Menez na SES but still defence bado haijakaa vizuri.Timu inaleta matumaini naamini msimu huu Inzaghi akipewa support atairudisha Milan mahali pake
 
Na huyo bwana Torres ataweza kuziba pengo la Super Mario?

cc: Belo na Pazi

Tunatakiwa tupate magoli mengi toka kwa midfielders,i hope SES,Menez,Honda,Muntari,Poli watafunga,Inzaghi alikuwa striker so atawaelekeza vijana
 
Last edited by a moderator:
Nimeangalia game ya jana nimefurahishwa na viwango vya Menez na SES but still defence bado haijakaa vizuri.Timu inaleta matumaini naamini msimu huu Inzaghi akipewa support atairudisha Milan mahali pake

kweli kabisa
 
Jonathan Biabiny yupo katika chumba cha kupimwa afya hukooo karibu na uwanja wa Sansiro.

Biabiny raia wa ufaransa mwenye uwezo wa kukiputa kama winger sambamba na striker anatazamiwa kujiunga na Milan akitokea Parma kwa ada ya €5m + Zacardo.

DEAL IMEBUMA...
Beki wa AC Milan Christian Zaccardo ameshindwa kukubaliana terms na klabu ya Parma...hivyo kupelekea kushindwa kukamilika kwa deal ya kumsajili kiungo Jonathan Biabiny
 
Heri AC Milan irudi kwenye Formu Aisee na mwaka huu dalili ni njema,pia Torres muda wa kushine umefika
 
Milan wamnasa kinda wa Atalanta...
Giacommo Bonaventura amejiunga na klabu ya AC Milan na kukamilisha ndoto yake ya kuchezea klabu kubwa Milan.
 
Milan wamnasa kinda wa Atalanta...
Giacommo Bonaventura amejiunga na klabu ya AC Milan na kukamilisha ndoto yake ya kuchezea klabu kubwa Milan.

milan inaongoza ligi ya serie A, kwa alama 3 na magoli +2, msimu huu japo hamtapata ubingwa mmeambuli kukalia kiti cha dereva.
 
Back
Top Bottom