Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

derby della madonnina finito zero a zero

Kwi kwi kwi kwi........

Derby della viwete ilikua match mbovu kabisa nimeangalia msimu huu, haikua na chochote cha kuuita a derby match, sijui mmekula maharage ya wapi?
Mmechoka wazee, pumzikeni wazee, mkalale wazee, mmebaki historia wazee, mlivaa pampas mkabebwa na refa wazee akakataa goli halali la Inter alilojifunga nunda Mexes wazee
 
-Wakuu Gang Chomba, chebi, Mourinho, Dota, Petro, Ntunzu n.k
-Ninaomba tuingia kwenye mfungo wa maombi walau kwa siku 3 mfululizo ili Ac Milan irudi ktk ubora wake, mimi nahuzunika sana timu kama hii kukosa soko barani Ulaya.
-Tuungane ktk maombi kuinusuru hii timu!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Amidst all speculations surrounding
the possible sale of Italian club AC
Milan, Thai investor, Mr Bee, has
signed a pre-contract with current
owner Silvio Berlusconi, over the sale
of 20% of Milan. This is expected to
rise to 65% till next year.
 
Last edited by a moderator:
Amidst all speculations surrounding
the possible sale of Italian club AC
Milan, Thai investor, Mr Bee, has
signed a pre-contract with current
owner Silvio Berlusconi, over the sale
of 20% of Milan. This is expected to
rise to 65% till next year.

kila la kheri wa ndugu..
 
-Wakuu Gang Chomba, chebi, Mourinho, Dota, Petro, Ntunzu n.k
-Ninaomba tuingia kwenye mfungo wa maombi walau kwa siku 3 mfululizo ili Ac Milan irudi ktk ubora wake, mimi nahuzunika sana timu kama hii kukosa soko barani Ulaya.
-Tuungane ktk maombi kuinusuru hii timu!!!!!

wewe ni mdogo labda ndo maana huna kumbukumbu...
mwanzoni mwa miaka ya 2000 Barca walipwaya kiasi cha kushika nafasi ya 16 mbona hukunena kwa Lugha mpya ili mkae sawa?
its a matter of time
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mdogo labda ndo maana huna kumbukumbu...
mwanzoni mwa miaka ya 2000 Barca walipwaya kiasi cha kushika nafasi ya 16 mbona hukunena kwa Lugha mpya ili mkae sawa?
its a matter of time

Jawabu mujarabu kabisa, halafu Gang Chomba anafunga na kusali kwa nani? Au umeokoka/umeslim siku hizi mwanakwetu
 
Last edited by a moderator:
-Wakuu Gang Chomba, chebi, Mourinho, Dota, Petro, Ntunzu n.k
-Ninaomba tuingia kwenye mfungo wa maombi walau kwa siku 3 mfululizo ili Ac Milan irudi ktk ubora wake, mimi nahuzunika sana timu kama hii kukosa soko barani Ulaya.
-Tuungane ktk maombi kuinusuru hii timu!!!!!

Watarudi tu Aleyn, hali ya uchumi wa vilabu vyetu kule Italiano si mzuri, lakini taratibu tutarudisha makali yetu barani Europa, huoni EPL haina hata team moja kwenye Uefa zote na Serie A inazo tatu?
 
Last edited by a moderator:
Watarudi tu Aleyn, hali ya uchumi wa vilabu vyetu kule Italiano si mzuri, lakini taratibu tutarudisha makali yetu barani Europa, huoni EPL haina hata team moja kwenye Uefa zote na Serie A inazo tatu?
-Bora mrudi UEFA na muoneshe ushindani, tumewachoka England.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mdogo labda ndo maana huna kumbukumbu...
mwanzoni mwa miaka ya 2000 Barca walipwaya kiasi cha kushika nafasi ya 16 mbona hukunena kwa Lugha mpya ili mkae sawa?
its a matter of time

-Tulinena sana ila sikuwa hapa JF.
 
Back
Top Bottom