Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #1,661
Hata hiyo match ya kesho kati ya team ya 9 Vs 10 ilitakiwa iitwe derby della VIWETE
duh.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hiyo match ya kesho kati ya team ya 9 Vs 10 ilitakiwa iitwe derby della VIWETE
duh.....
Pole......í-½í¸œ
Leo ntakuwa Inter, wewe je?
derby della madonnina finito zero a zero
-Wakuu Gang Chomba, chebi, Mourinho, Dota, Petro, Ntunzu n.k
-Ninaomba tuingia kwenye mfungo wa maombi walau kwa siku 3 mfululizo ili Ac Milan irudi ktk ubora wake, mimi nahuzunika sana timu kama hii kukosa soko barani Ulaya.
-Tuungane ktk maombi kuinusuru hii timu!!!!!
Amidst all speculations surrounding
the possible sale of Italian club AC
Milan, Thai investor, Mr Bee, has
signed a pre-contract with current
owner Silvio Berlusconi, over the sale
of 20% of Milan. This is expected to
rise to 65% till next year.
-Wakuu Gang Chomba, chebi, Mourinho, Dota, Petro, Ntunzu n.k
-Ninaomba tuingia kwenye mfungo wa maombi walau kwa siku 3 mfululizo ili Ac Milan irudi ktk ubora wake, mimi nahuzunika sana timu kama hii kukosa soko barani Ulaya.
-Tuungane ktk maombi kuinusuru hii timu!!!!!
wewe ni mdogo labda ndo maana huna kumbukumbu...
mwanzoni mwa miaka ya 2000 Barca walipwaya kiasi cha kushika nafasi ya 16 mbona hukunena kwa Lugha mpya ili mkae sawa?
its a matter of time

-Bora mrudi UEFA na muoneshe ushindani, tumewachoka England.Watarudi tu Aleyn, hali ya uchumi wa vilabu vyetu kule Italiano si mzuri, lakini taratibu tutarudisha makali yetu barani Europa, huoni EPL haina hata team moja kwenye Uefa zote na Serie A inazo tatu?
wewe ni mdogo labda ndo maana huna kumbukumbu...
mwanzoni mwa miaka ya 2000 Barca walipwaya kiasi cha kushika nafasi ya 16 mbona hukunena kwa Lugha mpya ili mkae sawa?
its a matter of time
Jawabu mujarabu kabisa, halafu Gang Chomba anafunga na kusali kwa nani? Au umeokoka/umeslim siku hizi mwanakwetu
Happy Birthday David Luiz...