Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #541
taja matokeo ya Milan vs Sampdoria ya juzi jumapili.acha bla bla we Gang chomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigel De Jong arrive in city of Milan to finalize the deal with the world most succsessfull Club in the world.
Nigel De Jong arrive in city of Milan to finalize the deal with the world most succsessfull Club in the world.
Kaka madeni na hali mbaya uchumi ulaya imewamaliza..naona mnatengeneza timu mpya!
Keep dealing with the past buddy...forget about the history its all about the future...In england liverpool is the most successful club in terms of european cups but look at liverpool now...when was the last time they played in the champions league?? HISTORY SHALL REMAIN HISTORY...its about now and the future
Usifananishe mafanikio ya Milan na Liverpool.
Milan wana jumla ya makombe 18 ya kimataifa.
Milan ni timu ambayo imetumikiwa na nyota wengi zaidi ya timu yoyote hapa Duniani.
inaaminika pia kuwa washabiki woote wa mchezo wa Soka Duniani ni wapenzi wa AC Milan.
Kama hiyo haitoshi kila mchezaji ambaye anataka kukamilika kisoka basi ni lazima akapitie timu ile hata kwa msimu mmoja tu.
Forza Milan

Ndugu yangu Kashengo hii sheria mpya ya usajili ya Uefa itaathiri timu nyingi saana.
Kitu pekee Milan walichofanya kwa sasa ni kwenda nayo sawa kabla haijachanganya.
Tazama pesa iliopatikana kwa kuwauza Silva na Ibra, then tazama imetumika pesa ngapi kuwapata wachezaji 10 tuliowasajili msimu huu.
Hivyo utaona kuna pesa flani imehifadhiwa benki 4 incase of anything kama patatokea ulazima wa kusajili nxt season's...
Forza Milan
Kha!!!...
:biggrin1: usinchekeshe asubuhi yote hii kwa hiyo messi ronaldo xavi inesta wao hawajakamilika kisoka mpaka wakachezee milan? :biggrin1: ur so funny nyie ndo wale mnakaa na historia mpaka mnashuka daraja lkn bado unaongelea about the past.. Wakey wakey