Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

taja matokeo ya Milan vs Sampdoria ya juzi jumapili.acha bla bla we Gang chomba
 
Nigel De Jong arrive in city of Milan to finalize the deal with the world most succsessfull Club in the world.
 
Nigel De Jong arrive in city of Milan to finalize the deal with the world most succsessfull Club in the world.

Keep dealing with the past buddy...forget about the history its all about the future...In england liverpool is the most successful club in terms of european cups but look at liverpool now...when was the last time they played in the champions league?? HISTORY SHALL REMAIN HISTORY...its about now and the future
 
Kaka madeni na hali mbaya uchumi ulaya imewamaliza..naona mnatengeneza timu mpya!

Ndugu yangu Kashengo hii sheria mpya ya usajili ya Uefa itaathiri timu nyingi saana.
Kitu pekee Milan walichofanya kwa sasa ni kwenda nayo sawa kabla haijachanganya.

Tazama pesa iliopatikana kwa kuwauza Silva na Ibra, then tazama imetumika pesa ngapi kuwapata wachezaji 10 tuliowasajili msimu huu.
Hivyo utaona kuna pesa flani imehifadhiwa benki 4 incase of anything kama patatokea ulazima wa kusajili nxt season's...

Forza Milan
 
Keep dealing with the past buddy...forget about the history its all about the future...In england liverpool is the most successful club in terms of european cups but look at liverpool now...when was the last time they played in the champions league?? HISTORY SHALL REMAIN HISTORY...its about now and the future

Usifananishe mafanikio ya Milan na Liverpool.
Milan wana jumla ya makombe 18 ya kimataifa.
Milan ni timu ambayo imetumikiwa na nyota wengi zaidi ya timu yoyote hapa Duniani.
inaaminika pia kuwa washabiki woote wa mchezo wa Soka Duniani ni wapenzi wa AC Milan.
Kama hiyo haitoshi kila mchezaji ambaye anataka kukamilika kisoka basi ni lazima akapitie timu ile hata kwa msimu mmoja tu.

Kha!!!...
 
:biggrin1: usinchekeshe asubuhi yote hii kwa hiyo messi ronaldo xavi inesta wao hawajakamilika kisoka mpaka wakachezee milan? :biggrin1: ur so funny nyie ndo wale mnakaa na historia mpaka mnashuka daraja lkn bado unaongelea about the past.. Wakey wakey
 
Ndugu yangu Kashengo hii sheria mpya ya usajili ya Uefa itaathiri timu nyingi saana.
Kitu pekee Milan walichofanya kwa sasa ni kwenda nayo sawa kabla haijachanganya.

Tazama pesa iliopatikana kwa kuwauza Silva na Ibra, then tazama imetumika pesa ngapi kuwapata wachezaji 10 tuliowasajili msimu huu.
Hivyo utaona kuna pesa flani imehifadhiwa benki 4 incase of anything kama patatokea ulazima wa kusajili nxt season's...

Forza Milan

kuanzia msimu ujao sheria mpyaaa za fedha katika soka la ulaya "Financial fair play" patachimbika maana kufikia 2018 club haitatakiwa kuzidisha deni la pound 8 milioni kwa mwaka na hawa vibopa woote watakimbia ingia hapa kaka

UEFA Financial Fair Play Regulations - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kha!!!...

Njiwa unashangaa hilo???
Pia Milan ndio timu iliowahi kuwa na kikosi bora cha Soka ambacho hakijawahi na hakitatokea katika karne iliopita, hii na zijazo.
Milan ya 89-90.
1. Galli
2. Tassotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Baresi
6. Colombo
7. Donadoni
8. Riijhkard
9. Van Barsten
10. Gullit
11. Ancelotti

shenz type Kikosi hicho kilimkalisha Madrid Goli 5-0 katika nusu Fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya na kwenda kumcharaza Steau Bucharest katika Fainali na kubeba ndoo ambayo pia msimu unaofuata waliitetea na kuibeba tena na kuwa timu ya kwanza na ya mwisho kutetea taji hilo.

Forza Milan
 
:biggrin1: usinchekeshe asubuhi yote hii kwa hiyo messi ronaldo xavi inesta wao hawajakamilika kisoka mpaka wakachezee milan? :biggrin1: ur so funny nyie ndo wale mnakaa na historia mpaka mnashuka daraja lkn bado unaongelea about the past.. Wakey wakey

Ronaldo wa Pekee na wa ukweli Ronaldo De Lima, Honorable Fernando Redondo, Saint Gaucho from Heaven, Rivaldo, Kluivert, Edger Davids, Pirlo Magic, Generali Seedorf, na Dikteta wa kiungo Manuel Cesar Rui Costa hawa ni sawa na Tonye la maji...

Lakini ukiitaka Bahari basi utaanzia na Opong George Wear, Roberto Baggio, Daniele Masaro, Oliver Bielhorf..........nk nk nk nk hawa wamekamilika na ndio maana Soka linawakumbuka.
Lakini mtazame mtu kama Deco, alikuwa mchezaji mzuri lakini hakuwahi kuvaa uzi wenye rehma wa AC Milan, leo hii yuko wapi?
Nani anayemkumbuka?

Forza Milan
 
Bologna 1-3 ac milan...
Thanx to Gianpaolo Pazini hat-trick
 
Udinese 1-4 Juventus.bingwa mtetezi bianconeri kampiga mtu nne!huyo vucinic kaonyesha njaa sana katika hilo game!
 
myao hongereni...
Ila kuna haya!
Juventus 2012/2013 campaign:
1. Controversial Super Coppa vs Napoli.
2. Non existent penalty against Parma.
3. Tried to steal Berbatov from Fiorentina.
4. Undeserved red for Udinese...

Sijui unayazungumzia vp hayo?
 
transfer Guru Luciano Moggi, who has a lifetime ban in football due to his
role on the 2006 Calciopoli scandal, insisted that
the Nerazzurri should have kept hold of the former
Sampdoria man, and that he would have been well
suited to the Bianconeri. “It is a well-trodden path at [Massimo] Moratti's
Inter that they can't find a suitable partner for
[Diego] Milito,” he told newspaper Libero. “But
Inter's cast-off is now shining for Milan. “He was recommended to Juve, but instead they
tried to get that unobtainable 'top player'. Pazzini
would be a brilliant partner for [Mirko] Vucinic, but
instead they have opted for [Sebastian] Giovinco." And reflecting on the Giovinco transfer, the former
Juve chief was also unhappy with the cost of the
deal. “[His former club] Parma wanted a high price for a
player who was already black and white in their
heart, and I think the situation could have been
handled a lot better,” he said.
 
Baresi tells Cassano: Talk less and play more

The Rossoneri legend took to the side's television
channel to brand the 30-year-old's decision to
make several thinly-veiled attacks against his
previous club as unwise
 
I bleed red and black. Through good times
and bad. Forza Milan.
 
Palermo president Zamparini:
I've spent €10m
on sacking coaches...
 
Back
Top Bottom