Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

katika dimba la Sansiro Milan wamewabamiza bila huruma timu ya Chievo kwa jumla ya mkono.
Milan imetandaza soka la hali ya juu.

Forza Milan
Juve imekula kwao j1 del alpi 1-3 unbeaten imeisha kama aseno 49
 
Milan Janga
Kafungwa 3-1 na Fiorentina
Yuko wapi yule mzee wa istoria?
Au kafungwa na belusconi?
 
Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
 
el shaarawy new salvation to Rozoneri..
 
mie umenifurahisha hii habari umeenda kuwahubiria hadi madomokaya waingereza maana angekuwa mchezaji wao basi hata walevi wa mataputapu wasiofuatilia soka wangejulishwa,eg posh mke wa beckham kila anapokuwa mjamzito ni kichwa cha habari,sasa hii goli la mexes mbona wapo kimya,zlatan kisa aliwafunga wao,yaa waingereza mpaka kitu kiwahusu aidha mechi baina yao umefunga wamekufunga watataka dunia nzima ijue.
duniani kuna mambo,unapokuwa mkimya,watakufuata fuata na maneno ili wakupe sifa mbaya,hata ukifanya jambo zuri wao wanakukashifu,kwa vile wameshazoea kusema eh he waseme mwisho watachoka,wacha waseme mwisho watachoka,ac milan tuta........ kaka imenifanya niwakumbuke sikinde na ac milan yako na wanavyokuandama!
 
Hah hah haaah hiyo nyimbo inanifurahisha Bitchuka anavyoanza tu...

Aaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Duniani kuna mambo....

Hah hah hah haaaah Gutierez you made ma day.
 
Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.

...akipata...hulia mbwata!
 
Hah hah haaah hiyo nyimbo inanifurahisha Bitchuka anavyoanza tu...

Aaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Duniani kuna mambo....

Hah hah hah haaaah Gutierez you made ma day.

by the way, selecao wamefukuza kocha hivyo maombi yako na matumaini ya dinho-kwishnei kucheza wc 2014 kwenye jiwanja la kihistoria la maracana yanazidia kufifia/kuzimika kama moshi wa kifuuu kwenye mvua ya masika!
 
Yaani leo ilikuwa nije nibandike mabango ya kukutafuta kwenye kila jukwaa coz sijakusoma kitambo na nikajuwa ukija tu utakuja na sarakasi za Dinho na utaponda kufudhu kwa Milan...yaleyale
 
mbio za sakafuni huishia ukingoni, kufuzu kwa milani mwishowe ni raundi ya pili - kichapo cha barca kinawasubiri!
 
"You have to do the maths. We saved €130m
with the Ibra and Thiago Silva sales and
nobody, during this economic climate, would
have turned that down"....Silvio Berlusconi

Unaizungumziaje kauli hiyo?
 
ni upumbavu mkuu tena ni uzembe wa ajabu na ujinga wa hali ya juu kumuuza kirahisi mchezaji aliyefunga goli hili:

Last edited by a moderator:

Walikuwepo Van Barsten, Baggio, Wear na Inzaghi...
Forza Milan
 
Last edited by a moderator:
Walikuwepo Van Barsten, Baggio, Wear na Inzaghi...
Forza Milan

naona umerudi kwenye zilipendwa zako ila afadhali hujajaribu kulilinganisha hilo goli la mwaka la Ibra na hili la mwezi la Mexes:

Last edited by a moderator:
naona umerudi kwenye zilipendwa zako ila afadhali hujajaribu kulilinganisha hilo goli la mwaka la Ibra na hili la mwezi la Mexes:

Goli la Ibra kipa hakuwepo Golini...
Lakini la Mexes kipa alikuwepo golini lakini alikopelekwa yaani hata wangekuwa makipa watatu wasingefika...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom