shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Teke la kuku halitikisi msuli wa nyati,ila jibu ndogo la nyati humfanya kuku abusu umauti.
teke la Atretico limewalegeza Barca wazoefu wa kubakwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teke la kuku halitikisi msuli wa nyati,ila jibu ndogo la nyati humfanya kuku abusu umauti.
Milan 3-0 Livorno...
Balomania
Taarabt
Pazini
Tunapanda taratibu,tunaweza pata nafasi Uropa
Hahahahahahaaaaa, leo umeamka na shifta naona
Teh Shifta kapotea kidogo sijui kabanwa na nini?
Naona anaogopa hata kuchungulia
Ac milan hamuachi roma salama leo!
Milan wanasumbua sana mahakama..Ngoja Second Half hukumu yao Isomwe..
Dah naona mnatumia wenyenyeji vilivyo kutwadhibu
Milan hawawezi kutoka kwa Roma..
Daah zinabaki points 4 sasa na Juve na Tarehe Old Lady akija jijini Rome inabaki point 1....
Mourihno bado mna kazi kubwa sana...
Milan hawawezi kutoka kwa Roma..
Daah zinabaki points 4 sasa na Juve na Tarehe Old Lady akija jijini Rome inabaki point 1....
Mourihno bado mna kazi kubwa sana...