Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son?

Karibuni.

Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo yake(usielezee kwanini umejibu ulivyojibu). Deal 🤝🏿.
Someone
 
Watu8 ndio pekee aliopatia jibu, na watu8 pia ndio waliokosea jibu kati ya watu tisa waliojibu swali.

Jibu lilikua ni hilo lenye maandishi ya kijani;
Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son?
Yaani... What ni jina la mtoto wa nne.

Swali lilikua na mitego miwili kama sio mitatu,

Mtego wa kwa ni katika pande nne za dunia kwa normal legend atajua mtoto ni West❌.

Mtego wa pili ni kauli ya umiliki Someone's hapa ultra legend wanadhani wameghamua mtego wa kwanza hivyo kifuatacho ni jibu kumbe ni mtego wa pili Someone.❌

Mtego wa tatu ambao ndio jibu lililojificha katika kivuli cha swali What is the name of the fourth son. lakini chakuzingatia ni kwamba hakukua na alama ya Kuuliza/kiulizo?❔. Hapa ma Pro ultra legend Watu8 Wakang'amua.

West au unasemaje kijana😁

Someone ndo mtoto wa nne.

sentensi inasema: Mama yake Someone ana watoto wanne.. Hii inaonyesha Someone ndiye mtoto wa nne.

Ashura 🤔


Hiyo hapo toto ya nne

Someone is Kanye 😹😹

Ukisoma kwa haraka jibu lake ni West, ila ukitulia kama Great thinker, jibu lake ni " someone"


Asanteni kwa kushiliki
Ndugu,
 
Back
Top Bottom