omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
endelea kuamini hivi huku ukifanya utafiti wa ziada lakini ukifanikiwa kupata ukweli mpya uje tena hapa utuwekee. Itakuwa ni aibu kwako kama kweli mpaka leo hii hujawahi kusikia watu wakisema kuwa Tanzania ni nchi ambayo mtu anakuja na briefcase tupu na baada ya miaka miwili tu anageuka mwekezaji mkubwa na kurejea kwao akiwa milionea huku akiwaacha wananchi wa nchi hiyo wakizidiwa na umasikini
hsc wako vizuri tuache majungu.....
Vijana hawa Fedha Nyingi Wanappata Nje ya Nchi lakini Wanawekeza hapa Tanzania mfano kutokana na Uaminifu wao na Kuaminiwa na Watanzania wengi wanakusanya Kontena Nyingi sana kwa Mwezi na kupewa SPECIAL RATES na wenye MELI,Hivyo wanapata Faida kidogo kwa Kila kasha na kwakuwa Mizigo ni Mingi Hutengeneza Faida kubwa(NJE YA NCHI)
Wanatoa Misaada Mingi kwa Jamii Kuliko hao Wafanyabiashara Matycoon Wanaofyonza Nchi kwa Mabilioni na mmekaa Kuwatukuza,Maskini vijana hawa Wanashambuliwa ajili ya Mafanikio yao ya Muda mfupi,Tufanye Kazi na Kuacha Majungu