Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

endelea kuamini hivi huku ukifanya utafiti wa ziada lakini ukifanikiwa kupata ukweli mpya uje tena hapa utuwekee. Itakuwa ni aibu kwako kama kweli mpaka leo hii hujawahi kusikia watu wakisema kuwa Tanzania ni nchi ambayo mtu anakuja na briefcase tupu na baada ya miaka miwili tu anageuka mwekezaji mkubwa na kurejea kwao akiwa milionea huku akiwaacha wananchi wa nchi hiyo wakizidiwa na umasikini
hsc wako vizuri tuache majungu.....
Vijana hawa Fedha Nyingi Wanappata Nje ya Nchi lakini Wanawekeza hapa Tanzania mfano kutokana na Uaminifu wao na Kuaminiwa na Watanzania wengi wanakusanya Kontena Nyingi sana kwa Mwezi na kupewa SPECIAL RATES na wenye MELI,Hivyo wanapata Faida kidogo kwa Kila kasha na kwakuwa Mizigo ni Mingi Hutengeneza Faida kubwa(NJE YA NCHI)
Wanatoa Misaada Mingi kwa Jamii Kuliko hao Wafanyabiashara Matycoon Wanaofyonza Nchi kwa Mabilioni na mmekaa Kuwatukuza,Maskini vijana hawa Wanashambuliwa ajili ya Mafanikio yao ya Muda mfupi,Tufanye Kazi na Kuacha Majungu
 
Huo ni ukweli kabisaa na sio uzushi mie nina maduka kariakoo hilo swala limemkuta huyu bwana na kwa kifupi kkoo mwezi mzima mizigo ilihadimika kabisaaaa sema sijui chanzo cha huyu bwana kugeukwa wakati siku zote walikua wanamlinda
 
😱😕 kazi akuna mjini washkaji zangu hoiii kibarua kinazidi ota nyasi, watu washazoea kwenda TPA deile nama FAO yao dahh! Kiburi kitawaisha na yule Duu wangu alivyopataaga kazi kule Samora atajutaa😀:thumbup:
 
Tetesi zainasema kuwa Home Shopping Centre ni mali ya mkuu wa kaya (tz) na ndio sababu mara nyingi makontena yake yamekuwa yakipita bandarini bila kutozwa ushuru wakati watanzania wa hali ya chini ambao wamempa dhamana wanaumizwa kwa kucheleweshewa mizigo yao bandarini kisa hakuna hela hazina.
Tetesi zinaendelea kusema kuwa hivi sasa kuna container zipatazo 30 bandarini zilizofojiwa detail kuwa zina vyandarua na kumbe sio. na badala yake zimegudnulika kuwa zina vitenge. (no wonder they are the cheapest shopping centre in TZ)
Ingawa sisuport fujo za Mtwara lakini tafakarini kama wananchi wa tanzania wanaojulikana ni waoga au niseme (waerevu wa kijinga) leo wanadhubutu kupambana na polisi kweli ni kwasababu ya Gas tu. Wananchi wamesikia mengi wamechoka na wamechoka sasa.

Naomba mwenye detail zaidi juu ya hili ambalo linasememkana lina uhusiano mkubwa na kikao cha leo wizara ya fedha atuhabarishe zaidi.

Kumbe mi "tetesi"
 
Mungu wangu !!!! AMA KWELI HALAFU TUNALALAMIKA TU MASKINI KUMBE KUNA WANAONUFAIKA NA UTAJIRI WETU, SIKUBALI IFIKAPO MWAKA 2015, SIJAWAHI KUPIGA KURA TANGIA NIMEZALIWA MPK LEO HII NAKARIBIA 40, MUNGU ANIPE UHAI NA AFYA NJEMA NIKAFANIKISHE AZMA YANGU , Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!! IMENUMA SANA BORA MSINGEANDIKA HAPA Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaani !!! nashindwa la kusema.
 
HOME SHOPPING CENTRE WAPO VIZURI WAPEWE PONGEZI ZAO.

Maadui wakubwa wao ni Wafanyabiashara Wakubwa waliojijengea MONOPOLY ktk Biashara Fulani na KATU KWA UDIKTETA hawataki Mwingine yeyote Aingilie!

Untouchables Vijana hawa Wamevunja Mwiko huu na wanachokipata sasa Kuchafuliwa ni Matokeo ya Mipango ya Muda mrefu ya watu hawa kupitia Vikundi,Magazeti na Watu Mbalimbali Kuwachafua,
Pia Baadhi ya Mawakala sio wote ambao Wanalalamikia Kuporwa sijui kazi zote na Hawa Vijana,Hivi ht ingekuwa Kweli ktk Zama hizi za Soko Huru ,Unaweza Kweli Kulalamika kwanini Kampuni fulani Wananunua Maji yake kuliko ya Kampuni yako na Kuanza Kuchafua kujenga UHALALI
Nilikuwepo ktk Kikao kimoja cha waziri na mawakala Nawachallenge Mawakala wa Nyuma waweke Hadharani Kuona wao wanalipa vp na hawa HSC wanalipa vipi!???
Ni Majungu Matupu tu kwa wasiojua wanakimbilia Kuhukumu tu,Nendeni TRA Mkaangalie rekodi kontena ya Bidhaa Tofauti walicholipa wao na wengine km Kuna Tofauti yoyote? Ulongo mtupu na Majungu WANAPATA KAZI TOKANA NA SERVICE YAO NZURI DOOR TO DOOR sio jambo linginelo lolote

Acha utoto jiulize kinachowaliza wafanya biashara wengi wa KKoo sasa nini,wamdanganywa kutolewa mizigo
yao na kampuni za HSC kwa bei ya chini leo wanalia container zimezuiliwa port wanatakiwa kulipa pesa kibao,
Sababu ya hii skendo maofisa In charge wengi wa customs waliokuwa kwenye ICDS wamerudishwa customs
mapato house,wanachunguzwa.

Hakuna mtu anaonewa wivu ukweli ndio huo HSC wameshaiibia sana serikali kwa kutoa mizigo bila kulipa kodi
stahiki,sasa imefikia mwisho either walipe kodi au waache biashara'
Haiangaliwi sura ya mkulu wala ya Prince'
 
aisee hii issue ina faida na hasara sema inategemea unaizungumzia issue hii ukiwa katika upande gani..hii ndio bongo sasa
 
Mimi kuna watu nawafahamu wanafanya kazi TRA,Vijana wadogo tu wana mali za kutisha yaani unakuta mtu ana nyumba 8 hapa Dar na ana miaka 5 kazini, hizoni mbali ya utitiri wa magari na mapande makubwa ya ARDHI...nchi hii imeoza sana
 
Udhaifu mkubwa wa hii serikali katika kulinda vyanzo vyake vya mapato vimetuumiza sana kama nchi, nashngaa sana viongozi wetu kuona ni sawa kuomba omba kama wendawazimu huku wakishindwa kudhibiti mapato halali yenye heshima na utu hapa nyumbani...
 
HSC WANAJUA WANACHOKIFANYA...WATANZANIA WENGI WAVIVU UBUNIFU WA HAWA JAMAA UNAWACHANGANYA
DONT HATE THE PLAYER, HATE THE GAME...
Wakurugenzi wa Kampuni Hii wana Asili ya Saudia na Yemen,Wana Uhusiano wa Karibu na Viongozi wa Saudia Mtakumbuka alipokuwepo Balozi aliyepita wa Saudia waliwahi kupitia yeye HSC kutoa Pampu 800 Za Maji Zilizosambazwa Nchi Nzima Kusaidia Mama Zetu na Dada Zetu Vijijini kwa USHAWISHI wao
Mmoja kati ya Matajiri wa Dunia hii wa Kisaudia TRILIONAIRE PRINCE TALAL AL SAUD AL WALEED alipozuru Nchini Walikuwa Wenyeji na Ndio walimpokea Airport na ht Kumpeleka Kwa Viongozi wa Serikali na walihudhuria Mazungumzo ya Uwekezaji
Sasa Ajabu gani kwa Mtu anayejua Medani za Biashara za kimataifa Vijana hawa kuwa Matajiri??!
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

Hatuna Ugomvi na uhusiano wao na Royal Family, Ugomvi tulio nao ni KUKWEPA KODI! Kama hawakwepi kodi wewe unadhani ni KWA NINI CONTAINER ZINASHIKILIWA? Ukweli ni kwamba wanakwepa kodi, tena sana! Wasitudanganye kwa misaada, aliyewaambia sisi tunahitaji misaada ni nani? WALIPE KODI WAACHE UJAMBAZI! @#@@#%^%^:yell:
 
Sasa naanza kuunganisha dot a HSC na yale mengi yalisemwa hapa jamvini kitambo kuhusu mahusiano ya huyu jamaa na baadhi ya watu mashuhuri nchini. Mods wanaweza kutusaidia kufufua zile thread kama hawajaweka kapuni.Unajua haya mambo ya kugawa hisa za bure ili kupata sauti ya kuiibia serikali yanatumika sana na wengi na si HSC alone!!! Haya mambo yataisha lini? Kila siku kodi wanakamuliwa watumishi wenye formal salaries, magari, na leseni mbalimbali huku tukiacha mapato makubwa ya ushuru wa bandari na kodi za mizigo zikiyeyuka tu.
 
Hawa vijana niwafanya Kazi for over 15years in freight business wanna experience na special offers,h
Mimi money ewe nilikua nina wasiwasi nao sana mwanzoni mapaka nilivyo peleleza Vipi Kazi wanafanya na kukuta ni hard work na trust waliojenga miaka yote ya nyuma
 
HABARi hizi sizakweli watanzania let's learn through experience...
haya jamac wanachukua mizigo Yao viwandani china whole sale,wanna special rate ya freight,that's why vitu val very cheap,wangekua wanaiba wasingeweza ku survive biashara miaka yote halo,wangapi matajiri wanakuja na kuondoka...
na Hawa vijana hii ni family business wako Kama mtu 8,Hawa vijana wamechangamka na gunwale haki Yao
 
Sasa unajibiwa hamna mtu aliye kwepa kodi,unaambiwa Vipi vijana walivyo jijenga kibiashara
kwani company haiwezi Kuwa successful mpaka ikwepe kodi....Hawa jamaa kismet kweli wanasaidia sana na wanapata support niyi hi from royal families
 
Sikweli Hizi ni fitina Kutoka wafanyabiashara wengine wakubwa wa Tz,ndio wanatafuta maneno kuaaribia Kazi vijana Hawa.........Hawa vijana been on the business for a very long time na hard work and trust ndio ilipowafikia hapa Kuwa successful.
hawa vijana nendeni Mkaone godawni zao watu wangapi wanaajiri na Vipi wakipiga Kazi...

Mimi Hawa vijana Kutwa ndio wananitolea ma container yangu na wako serious na Kazi
 
Back
Top Bottom