Home tuition bora kwa watoto wenye changamoto za masomo

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
126
Reaction score
156
Je, mtoto wako: ❌ Hajui kusoma na kuandika?
❌ Ana changamoto darasani au anaachwa nyuma?
❌ Anaogopa masomo au hana msingi mzuri?

πŸ‘‰ USIJALI TENA!
Sisi ni walimu wabobezi wa Home Tuition, tunamfuata mtoto hadi nyumbani na kumjengea msingi imara kwa muda mfupi.
βœ… TUNAPATIKANA BARA NA ZANZIBAR
βœ… Mtoto akishindwa ndani ya wiki 2, MZAZI HATOLIPA
βœ… Mafunzo ya karibu, uvumilivu na ufuatiliaji wa mtoto mmoja mmoja

πŸ“˜ TUNAFUNDISHA:
βœ”οΈ Kusoma na Kuandika (kuanzia kabisa)
βœ”οΈ Mitaala yote (Chekechea hadi Sekondari)
βœ”οΈ Masomo yote
βœ”οΈ Lugha za Kigeni (English, n.k.)

πŸ“ž WASILIANI NASI SASA:
πŸ“± Piga / Tuma SMS / WhatsApp
0674 090 429
🌟 Hakuna mtoto mjinga β€” kila mtoto ana uwezo, anachohitaji ni mwalimu
 
Watoto wako kila siku wanashika mkia darasani,utawaweza wa kwetu?
 
Mnaweza kumfundisha mtoto wa darasa la kwanza masomo ya mbele ili mwakani afanye mtihani wa darasa la 4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…