Nakubaliana na wewe, lkn kwa mazingira ya sasa, angeliachaMbowe ndo kiongozi makin ndani ya JMT. ...chadema imeshajengwa Vizuri.
Nakubaliana na wewe, lakini kwa mazingira ya sasa, angeliacha
Hata watanzania bado wananunua usanii wa ccm.Yaani kuna baadhi ya watu bado wananunua usanii wa viongozi wa CHADEMA!
Tanzania kuna vituko!
Sina woga, na sina sababu ya kuwa na woga. Chadema bado ina mashikamano mkubwa, we need not create chances to jeopardize this mshikamano!Chadema hiko Imara sana ..., mkuu punguza uoaga msimu huu Mbowe ndo yuko kwenye peak.
Nakubaliana na wewe, lkn kwa mazingira ya sasa, angeliacha
Sina woga , na sina sababu ya kuwa na woga. Chadema bado ina mashikamano mkubwa, we need not create chances to jeopardize this mshikamano!
Sijakuelewa, usanii kwa vipi?Yaani kuna baadhi ya watu bado wananunua usanii wa viongozi wa CHADEMA!
Tanzania kuna vituko!
Bora umeliona hili na kulisema.
Naona umebanwa kwenye kona hadi unaongea kiingereza na bado hiyo ni just introduction
Naona umebanwa kwenye kona hadi unaongea kiingereza na bado hiyo ni just introduction
Its a democracy strategy atajitoa mwishoni na kumuunga mkono Lissu