Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Asante kwa kuliona hillo. Kama nguzo ya chama kwenye mishale ya Jiwe, inabidi awe neutral!
Nahisi kuna pressure kubwa kutoka usalama wa Taifa na State machinery kiujumla kutotaka Lissu awe mgombea wa chama chochote kile cha Uraisi
Hakuna mtu ambaye Jiwe anamuogopa kama Lissu, anaweza kufanya deal lolote lile behind the scene ili Chadema isimpe nafasi ya kupeperusha bendera ya chsma kwenye uchaguzi