Uchaguzi 2020 Hon. Freeman Mbowe, please play altruism

Kweli kuna vituko tena vya kutisha kama viongozi wa ccm wanamuita mwenyekiti wenu kuwa ni yesu
Yaani kuna baadhi ya watu bado wananunua usanii wa viongozi wa CHADEMA!

Tanzania kuna vituko!
 
Mkuu Retired mgombea wa cdm tayari anajulikana
afadhali. Hizi chaguzi zinagawana watu, unakumbuka CCM na Lowasa na Membe, ndipo akaibuka Jiwe....na Jiwe alivyoikalia kooni CDM, napata wasiwasi. Kama ingelikuwa siyo Jiwe na mizengwe yake, I will not care about Mbowe joingn the train!
 
It seems Chadema Machinery ama kwa maelekezo ya TISS hawamtaki Lissu
The only way ya kumharibia na kumzuia asigombee ni kufield in wagombea wengi kwenye kinyang'anyiro ili kupunguza chance ya yeye kuwa nominated!

Lissu anafanyiwa mchezo uleule ambao Bernie Sanders alifanyiwa na Democrats establishment kwa kumuwekea wagombea wengine akina Buttigieg ili wapunguze kura zake kisha baadae hao wagombea wakaanza kumuendorse Joe Biden.

Mbowe umekosea sana kuchukua fomu!

Ulipaswa kuwa Neutral
 
Mkuu wala usihofu , TISS wanachoweza kufanya ni kuwashambulia viongozi wa chadema , hawana uwezo wa kupandikiza chochote
 
Ushauri wako umepokelewa , but it was ...... !
Asante sana. Mimi ni muumini wa CDM, sitaki kuona mvurugano sasa hivi kisa Urais! We need CDM than any other time!
Sina wasiwasi sana na Nyalandu, LKN tusionje sumu. Asubiri nyakati zijazo!
 
It seems Chadema Machinery ama kwa maelekezo ya TISS hawamtaki Lissu
The only way ya kumharibia na kumzuia asigombee ni kufield in wagombea wengi kwenye kinyang'anyiro ili kupunguza chance ya yeye kuwa nominated!

Lissu anafanyiwa mchezo uleule ambao Bernie Sanders alifanyiwa na Democrats establishment kwa kumuwekea wagombea wengine akina Buttigieg ili wapunguze kura zake kisha baadae hao wagombea wakaanza kumuendorse Joe Biden.

Mbowe umekosea sana kuchukua fomu!

Ulipaswa kuwa Neutral
Asante kwa kuliona hillo. Kama nguzo ya chama kwenye mishale ya Jiwe, inabidi awe neutral!
 
Ukitumia jicho moja huwezi kujua nini cdm wamekusudia, na hili litawachanganya wengi ila ukweli wake ni mbinu yenye kuleta mwanga mkubwa kwa cdm
Kumbe jina la mgombea tayari liko mfukoni. Sasa huu usanii utawasaidia Nini?
 
Ukitumia jicho moja huwezi kujua nini cdm wamekusudia, na hili litawachanganya wengi ila ukweli wake ni mbinu yenye kuleta mwanga mkubwa kwa cdm
Inshallah. Kwa tulio nje tunaomba heri.
 
Kila siku tunasema kuwa serikali itengenezewe mifumo imara siyo utegemea kiongozi akiondoka mambo yanaharibika. Miaka yote CHADEMA haijivunii kuwa na mifumoimara inajivunia Mbowe tu.
Kama ndivyo basi alipoondoka mateka wenu slaa chadema ingekufa.
ILIBAKI IMARA
 
Back
Top Bottom