- Thread starter
- #21
If this is the case, then that is well calculated!Its a democracy strategy atajitoa mwishoni na kumuunga mkono Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If this is the case, then that is well calculated!Its a democracy strategy atajitoa mwishoni na kumuunga mkono Lissu
Kwenye maingira ambayo serikali imewakalia kooni, avoid any chances of divisions. Chaguzi zinaletaga mifarakano katika vyama. Sasa kama dola nzima inawatafuta mfe, jizuie kuleta mgawanyiko. Mbowe ana ushawishi mkubwa sana, akieka jina atawagawa sana. Lkn wengine waliojitokeza hawawezi kukigawa chama! Wote ushawishi wao hauna nguvu ya kukigawa chma.Niseme tu SIJAKUELEWA, pamoja na kurudia kusoma. Yaan akiwa mgombea hatoweza kujenga chama? Hii hulka ya kuchagua huyu agombee na huyu asigombee sio kwamba ni ya ki-CCM CCM??
Wacha demokrasia ichukue nafasi yake.
My God mnakimbizana na kulana wenyewe makamanda mnafeli wapi mbona hamueleweki
kwa nini utake mwenyekiti Mbowe ajitoe kwa nini asiwe makamu mwenyekiti Tundu Lisu? kama ni kujenga chama ni kazi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti kwa nini usitake wote mwenyekiti na makamu mwenyekiti wote wajiondoe wakajenge chama?Kwenye maingira ambayo serikali imewakalia kooni, avoid any chances of divisions. Chaguzi zinaletaga mifarakano katika vyama. Sasa kama dola nzima inawatafuta mfe, jizuie kuleta mgawanyiko. Mbowe ana ushawishi mkubwa sana, akieka jina atawagawa sana. Lkn wengine waliojitokeza hawawezi kukigawa chama! Wote ushawishi wao hauna nguvu ya kukigawa chma.
Kila siku tunasema kuwa serikali itengenezewe mifumo imara siyo utegemea kiongozi akiondoka mambo yanaharibika. Miaka yote CHADEMA haijivunii kuwa na mifumoimara inajivunia Mbowe tu.Mbowe ndio kiongozi makini ndani ya JMT .... chadema imeshajengwa Vizuri.
Kila siku tunasema kuwa serikali itengenezewe mifumo imara siyo utegemea kiongozi akiondoka mambo yanaharibika. Miaka yote CHADEMA haijivunii kuwa na mifumoimara inajivunia Mbowe tu.
Bila mfumo imara kutegemewa mtu mmoja ni kosa la kiteknikaliMbowe nichuma Imara.
Mkuu kwanza sijashawishika na msingi wa hofu yako.To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the contestants. This will create a fragile environment within your party taking into consideration that the government is waging a "war" against your party!- CHADEMA. You are jeopardizing the intergrity of your party! Chadema bado ina mashikamano mkubwa, we need not create chances to jeopardize this mshikamano!
SOMETIMES AS A LEADER YOU HAVE TO PLAY ALTRUISM!
I stand to be corrected!
View attachment 1480034View attachment 1480036View attachment 1480037View attachment 1480038
Sidhani kama Mbowe anamaanisha inaweza kuwa trick fulani hiviBora umeliona hili na kulisema.
Sidhani kama Mbowe anamaanisha inaweza kuwa trick fulani hivi
Bribe!To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the contestants. This will create a fragile environment within your party taking into consideration that the government is waging a "war" against your party!- CHADEMA. You are jeopardizing the intergrity of your party! Chadema bado ina mashikamano mkubwa, we need not create chances to jeopardize this mshikamano!
SOMETIMES AS A LEADER YOU HAVE TO PLAY ALTRUISM!
I stand to be corrected!
View attachment 1480034View attachment 1480036View attachment 1480037View attachment 1480038
Siamini kama mmeshindwa kabisa kuiunganisha na fitina za CCM hii ishu!Nakubaliana na wewe, lkn kwa mazingira ya sasa, angeliacha
Naona mantiki kubwa sana kwenye andiko lako, LKN kwa nascent democracies kama zetu, your theory might not be palatable!Mkuu kwanza sijashawishika na msingi wa hofu yako.
Pili this is what we call democracy. Kama chama makini lazima kiwe na options za wagombea, hii inadhihirisha ukomavu wa chama katika kugombea nafasi fulani lkn pia inaonesha 'utajiri' wa rasilimali watu katika several posts.
Kama chama kinagawanywa na hizi mambo maana yake hakijakomaa bado. Kama chama kitapitisha mgombea kisha kubaki na mshikamano wake na wengine kumuunga mkono aliyepitishwa basi kinaimarika zaidi kwa kuunganisha kambi zilizokuwa na fikra tofauti juu ya walioomba nafasi.
Kwa maoni yangu, jamii yenye kutofautiana kimawazo na kimitizamo lakini ikakubaliana kutokukubaliana kwao ni jamii yenye afya sana, Cdm ikionesha kufikia hii level ni baraka sana kwao kama chama.
This makes sense, nakubaliana na wewe!What if Lissu akirudi halafu akaishia mahakamani kwa ile kesi yake, what next...?!
Fafanua zaidi, sijakuelewa, seems you have a point!Siamini kama mmeshindwa kabisa kuiunganisha na fitina za CCM hii ishu!
yesKwani Mbowe anagombea??
Yes, kwa uzoefu wa siasa zetu na uelewa mdogo wa uraia kwa wanachama/wapiga kura nakubali inaweza kuwa na changamoto zake lakini imani yangu ni kuwa all these candidates believe on a common goal, kwamba nikiwa mimi au mwingine lengo letu ni moja kama chama.Naona mantiki kubwa sana kwenye andiko lako, LKN kwa nascent democracies kama zetu, your theory might not be palatable!
To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the contestants. This will create a fragile environment within your party taking into consideration that the government is waging a "war" against your party!- CHADEMA. You are jeopardizing the intergrity of your party! Chadema bado ina mashikamano mkubwa, we need not create chances to jeopardize this mshikamano!
SOMETIMES AS A LEADER YOU HAVE TO PLAY ALTRUISM!
I stand to be corrected!
View attachment 1480034View attachment 1480036View attachment 1480037View attachment 1480038