Uchaguzi 2020 Hon. Freeman Mbowe, please play altruism

Niseme tu SIJAKUELEWA, pamoja na kurudia kusoma. Yaan akiwa mgombea hatoweza kujenga chama? Hii hulka ya kuchagua huyu agombee na huyu asigombee sio kwamba ni ya ki-CCM CCM??

Wacha demokrasia ichukue nafasi yake.
Kwenye maingira ambayo serikali imewakalia kooni, avoid any chances of divisions. Chaguzi zinaletaga mifarakano katika vyama. Sasa kama dola nzima inawatafuta mfe, jizuie kuleta mgawanyiko. Mbowe ana ushawishi mkubwa sana, akieka jina atawagawa sana. Lkn wengine waliojitokeza hawawezi kukigawa chama! Wote ushawishi wao hauna nguvu ya kukigawa chma.
 
My God mnakimbizana na kulana wenyewe makamanda mnafeli wapi mbona hamueleweki

Kusema kweli haijawahi kuwa tatizo kwetu. Wapi tatizo liko hapo?
 
kwa nini utake mwenyekiti Mbowe ajitoe kwa nini asiwe makamu mwenyekiti Tundu Lisu? kama ni kujenga chama ni kazi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti kwa nini usitake wote mwenyekiti na makamu mwenyekiti wote wajiondoe wakajenge chama?
 
Mbowe ndio kiongozi makini ndani ya JMT .... chadema imeshajengwa Vizuri.
Kila siku tunasema kuwa serikali itengenezewe mifumo imara siyo utegemea kiongozi akiondoka mambo yanaharibika. Miaka yote CHADEMA haijivunii kuwa na mifumoimara inajivunia Mbowe tu.
 
Kila siku tunasema kuwa serikali itengenezewe mifumo imara siyo utegemea kiongozi akiondoka mambo yanaharibika. Miaka yote CHADEMA haijivunii kuwa na mifumoimara inajivunia Mbowe tu.


Mbowe nichuma Imara.
 
Mkuu kwanza sijashawishika na msingi wa hofu yako.

Pili this is what we call democracy. Kama chama makini lazima kiwe na options za wagombea, hii inadhihirisha ukomavu wa chama katika kugombea nafasi fulani lkn pia inaonesha 'utajiri' wa rasilimali watu katika several posts.

Kama chama kinagawanywa na hizi mambo maana yake hakijakomaa bado. Kama chama kitapitisha mgombea kisha kubaki na mshikamano wake na wengine kumuunga mkono aliyepitishwa basi kinaimarika zaidi kwa kuunganisha kambi zilizokuwa na fikra tofauti juu ya walioomba nafasi.

Kwa maoni yangu, jamii yenye kutofautiana kimawazo na kimitizamo lakini ikakubaliana kutokukubaliana kwao ni jamii yenye afya sana, Cdm ikionesha kufikia hii level ni baraka sana kwao kama chama.
 
Bribe!
 
Naona mantiki kubwa sana kwenye andiko lako, LKN kwa nascent democracies kama zetu, your theory might not be palatable!
 
Naona mantiki kubwa sana kwenye andiko lako, LKN kwa nascent democracies kama zetu, your theory might not be palatable!
Yes, kwa uzoefu wa siasa zetu na uelewa mdogo wa uraia kwa wanachama/wapiga kura nakubali inaweza kuwa na changamoto zake lakini imani yangu ni kuwa all these candidates believe on a common goal, kwamba nikiwa mimi au mwingine lengo letu ni moja kama chama.

Kama watakuwa na view hiyo ni rahisi kukiunganisha chama baada ya nomination, else kama kuna mapandikizi kama tulivyo shuhudia recently... basi Cdm inahitaji umakini sana kwenye hii process.
 
Ukitumia jicho moja huwezi kujua nini cdm wamekusudia, na hili litawachanganya wengi ila ukweli wake ni mbinu yenye kuleta mwanga mkubwa kwa cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…