Mbowe ndio kiongozi makini ndani ya JMT .... chadema imeshajengwa Vizuri.
Vita vya panzi,_____________.
Yaani kuna baadhi ya watu bado wananunua usanii wa viongozi wa CHADEMA!
Tanzania kuna vituko!
afadhali. Hizi chaguzi zinagawana watu, unakumbuka CCM na Lowasa na Membe, ndipo akaibuka Jiwe....na Jiwe alivyoikalia kooni CDM, napata wasiwasi. Kama ingelikuwa siyo Jiwe na mizengwe yake, I will not care about Mbowe joingn the train!Mkuu Retired mgombea wa cdm tayari anajulikana
Nimekuelewa. Amani iwe CDM ndiyo sala yangu!Mkuu kwa watakao litazama kwa haraka huu uamuzi wa mh Mbowe kutangaza kugombea urais watakuwa wameingia king
Anahamisha mjadala watu Sasa wameacha kukadili ulevi wake makamanda wanasafisha.Sidhani kama Mbowe anamaanisha inaweza kuwa trick fulani hivi
Mkuu wala usihofu , TISS wanachoweza kufanya ni kuwashambulia viongozi wa chadema , hawana uwezo wa kupandikiza chochoteIt seems Chadema Machinery ama kwa maelekezo ya TISS hawamtaki Lissu
The only way ya kumharibia na kumzuia asigombee ni kufield in wagombea wengi kwenye kinyang'anyiro ili kupunguza chance ya yeye kuwa nominated!
Lissu anafanyiwa mchezo uleule ambao Bernie Sanders alifanyiwa na Democrats establishment kwa kumuwekea wagombea wengine akina Buttigieg ili wapunguze kura zake kisha baadae hao wagombea wakaanza kumuendorse Joe Biden.
Mbowe umekosea sana kuchukua fomu!
Ulipaswa kuwa Neutral
Anayesemwa mzuri kichwani ana 0 ya A-level, anayesemwa siyo mzuri ana PhD! Maajabu ya nyumbu wa Tanzania.Mimi nachofahamu Mh, Mbowe yuko vizuri kichwani kuliko Magufuli.
Asante sana. Mimi ni muumini wa CDM, sitaki kuona mvurugano sasa hivi kisa Urais! We need CDM than any other time!Ushauri wako umepokelewa , but it was ...... !
Asante kwa kuliona hillo. Kama nguzo ya chama kwenye mishale ya Jiwe, inabidi awe neutral!It seems Chadema Machinery ama kwa maelekezo ya TISS hawamtaki Lissu
The only way ya kumharibia na kumzuia asigombee ni kufield in wagombea wengi kwenye kinyang'anyiro ili kupunguza chance ya yeye kuwa nominated!
Lissu anafanyiwa mchezo uleule ambao Bernie Sanders alifanyiwa na Democrats establishment kwa kumuwekea wagombea wengine akina Buttigieg ili wapunguze kura zake kisha baadae hao wagombea wakaanza kumuendorse Joe Biden.
Mbowe umekosea sana kuchukua fomu!
Ulipaswa kuwa Neutral
Kumbe jina la mgombea tayari liko mfukoni. Sasa huu usanii utawasaidia Nini?Ukitumia jicho moja huwezi kujua nini cdm wamekusudia, na hili litawachanganya wengi ila ukweli wake ni mbinu yenye kuleta mwanga mkubwa kwa cdm
Inshallah. Kwa tulio nje tunaomba heri.Ukitumia jicho moja huwezi kujua nini cdm wamekusudia, na hili litawachanganya wengi ila ukweli wake ni mbinu yenye kuleta mwanga mkubwa kwa cdm
Anayesemwa mzuri kichwani ana 0 ya A-level, anayesemwa siyo mzuri ana PhD! Maajabu ya nyumbu wa Tanzania.
Kama ndivyo basi alipoondoka mateka wenu slaa chadema ingekufa.Kila siku tunasema kuwa serikali itengenezewe mifumo imara siyo utegemea kiongozi akiondoka mambo yanaharibika. Miaka yote CHADEMA haijivunii kuwa na mifumoimara inajivunia Mbowe tu.