Uchaguzi 2020 Hon. Freeman Mbowe, please play altruism

Asante kwa kuliona hillo. Kama nguzo ya chama kwenye mishale ya Jiwe, inabidi awe neutral!

Nahisi kuna pressure kubwa kutoka usalama wa Taifa na State machinery kiujumla kutotaka Lissu awe mgombea wa chama chochote kile cha Uraisi

Hakuna mtu ambaye Jiwe anamuogopa kama Lissu, anaweza kufanya deal lolote lile behind the scene ili Chadema isimpe nafasi ya kupeperusha bendera ya chsma kwenye uchaguzi
 
Kama ndivyo basi alipoondoka mateka wenu slaa chadema ingekufa.
ILIBAKI IMARA
Aliyotabiri Slaa yalitokea hayakutokea? Aliyenunua chama si alirudi alikotoka? CHADEMA uwa inarudia mistake zile zile hata Malisa jana kaandika kuhusu hawa wabunge watatu wa viti maalum jinsi gani uteuzi wao ulikuwa na utata.
Siyo kila anayejaribu kuikosoa CHADEMA ni mpinzani ila kuna wengine wana mapenzi ya kweli na chama wanatamani kikae kwenye mstari na hilo ndilo watu hampendi kusikia.
 
Mkuu Retired mgombea wa cdm tayari anajulikana
Ninavyojua Mimi ni kuwa, huyu mgombea wa CHADEMA anayejulikana maCCM wanamuogopa kuliko Jehanamu. Hivyo kwa kumtumia yule hakimu wa Kisutu ambaye juzi wamemuwekea Kinga asishitakiwe, watamzuia mgombea pekee wa CHADEMA asigombee. Pia kuna uwezekano Mkubwa MWAMBA kuzuliwa kugombea Urais, kwa kupitia ile rufaa ambayo MWAMBA na wenzake wamekata kupinga huku ya faini za Simba.
 
Cdm ina viongozi makini sana linapokuja suala la kuhujumiwa ndiyo maana utaona jinsi watu walivyo jitokeza kuomba kuwania hiyo nafasi, hiyo ni kazi ya system ndani ya chama.
 
Anayesemwa mzuri kichwani ana 0 ya A-level, anayesemwa siyo mzuri ana PhD! Maajabu ya nyumbu wa Tanzania.
Umejichanganya sana mkuu, kufaulu mitihani haina uhusiano wa moja kwa moja na kuwa na akili
 
Yaani yesu anamuogopa sana lissu
 
Yesu kaishupalia kinoma cdm sijui sababu ni ipi
afadhali. Hizi chaguzi zinagawana watu, unakumbuka CCM na Lowasa na Membe, ndipo akaibuka Jiwe....na Jiwe alivyoikalia kooni CDM, napata wasiwasi. Kama ingelikuwa siyo Jiwe na mizengwe yake, I will not care about Mbowe joingn the train!
 
Kamanda Chadema ni mali ya familia
 
Usihofu mambo yatakwenda vizuri na Lissu anafanya mambo, si unajua hiki ni chama cha demokrasia?
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…