Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Beauty is in the eye of the beholder!
Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla.
Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe.
Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp kwahiyo kanafaa sana kwa misele ya mjini.
Baadhi ya mauzo yake kutokea kazinduliwe 2011, ikumbukwe imekua best selling car JP kuanzia 2022, 2023 na 2024.
Kama hivi vidude mambo yako, changamkia vimejazana online. Vizuri kwa mtu mwenye kubeba mizigo midogo midogo na kama mnatumia gari as a family.