Honda N-Box: Wajapan huwaambii kitu kwenye hii gari!

Honda N-Box: Wajapan huwaambii kitu kwenye hii gari!

Hapo mbele utadhani ni Range Rover discovery.
😂😂😂😂😂
 
Sedan ikiwa na engine ndogo yenye CC 650 itakuaje kwenye balance ya gari?
Mpangilio wa drive shaft Kwa upande wa kulia na kushoto utakaa vipi?

Siyo kwamba hazijawahi kuwepo hiyo Toyota Publica P10 series sedan ilikuwa na CC 700.

1961 toyota publica rear ¾.jpg
 
Beauty is in the eye of the beholder!

Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla.
View attachment 3343488
Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe.
View attachment 3343489
Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp kwahiyo kanafaa sana kwa misele ya mjini.
View attachment 3343490
Baadhi ya mauzo yake kutokea kazinduliwe 2011, ikumbukwe imekua best selling car JP kuanzia 2022, 2023 na 2024.
View attachment 3343491
Kama hivi vidude mambo yako, changamkia vimejazana online. Vizuri kwa mtu mwenye kubeba mizigo midogo midogo na kama mnatumia gari as a family.
Wapewe wabunge hivi vidude, badala ya mavieitee
 
Kana tairi dogo kama bajaji
Gari kitu kingine inatakiwa kuangalia usalama wako pia hako ukiguswa kidogo na gari ingine ni kama unatembea kwa miguu tu akamlindi mwenye gari sijui hata kama airbag zipo vigari vingine uradhani vya kuchezea watoto kumbe ni usafiri..
 
Back
Top Bottom